IMEANDIKWA,
"tuishi nao kwa Akili"
Ushauri wangu Ni kwamba,
Kama Ni kweli unampenda,
[emoji117]Mpe full mikakati yako ya kimaisha na malengo yako juu yake.
[emoji117]Muelekeze azma yako na malengo yako ya kumlipa icho unachomlipa
[emoji117]Muelekeze Ni wapi mnataka mfike kiuchumi na mnafikaje hapo.
Kama umeamua ubane matumizi,
Basi bana kotekote hata kwako pia.
Sio unamwambia abane yeye matumizi, wakati anakuona wewe unatumbua pesa.
Mwisho wa sikU ukimwambia huna Ela hakuelewi,
Atakuchukulia mbahili TU.
HEBU FANYIA KAZI HUU USHAURI MKUU.
Hapa Nmeandika nikiwa serious kabisa