Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

Mzee wangu alishawahi kuniambia usimuendekeze mwanamke maisha ya starehe hata kama pesa unayo, akaniambia pia hakikisha asijue kipato chako yaani statement yako ya bank hadi salaryslip iwe siri yako hata akiba yako jitahidi kuwa msiri maana huwa hawariziki kwa kweli mzee sikumuamini
Kumpa hela mwanamke ni sawa na kutupa jalani-haswanaga kumbukumbu-hawarikagi hata siku moja
Kumpa mtoto ni sawa na kukopesha
kuwapa wazazi ni kulipa deni
Chagua mwenyewe wapi upeleke hela
 
TUISHI NAO KWA AKILI.

Mwanzoni mwa mahusiano wanaonyesha uelewa na uvumilivu, wakishajiona wameota mizizi huotesha hata makucha ambayo hawakuwa nayo.

Kuendelea kufurahia penzi lake ni namna akili yako itakavyokuwa inafanya kazi.
Baadhi ya vitabu/maandishi vinapotosha sana kuhusu habari za mahusiano, vimedanganya wengi na kisha kuharibu mahusiano yao.

AKILI MBINU PESA.
 
Sana yanii
 
Ifike pahala muache kusimanga wanawake wote sababu ya makosa yenu ya uchaguzi wa hao viumbe wachache..! tuheshimuni basii..!
Ifike pahala nanyi mtu hurumie na hiyo mizinga yenu....Jana na leo nimejuana na mademu wawili tofauti.....mmoja jana usiku kasema kafiwa na ndugu yake anaomba nauli.......yule mwingie mida hii kaniambia anaomba nimlipie kodi 120,000.....na wote bado sijawakula
 
Duh
 
Hapo ni kama unafanya biashara na mke wako,
Au umemuajiri mkeo.

Tatizo linaanzia hapo mkuu.

Hiyo hela unayomlipa 12k- 17k ni malipo ya kazi au biashara mnayofanya.

Kwahiyo anachodai hapo ni "hela ya kuwa wapenzi".
Sijajua hiyo hela inaitwaje.
Hiyo inaitwa service charge mkuu, taratibu tu utazowea.😜😜
 
Mkuu kwa minimum ya 12,000 kwa siku manake kwa mwezi ni kwamba unamlipa 360,000 ambayo ni kima cha chini cha mtumishi flani wa serikali hivyo basi ni wazi ungemuajiri moja kwa moja ijulikane kama ni mfanyakazi na kama ni mpenzi wako acha kumpa kila siku ili siku akikosa ndipo azikumbuke.
 
mkuu kwa minimum ya 12,000 kwa siku manake kwa mwezi ni kwamba unamlipa 360,000 ambayo ni kima cha chini cha mtumishi flani wa serikali hivyo basi ni wazi ungemuajiri moja kwa moja ijulikane kama ni mfanyakazi na kama ni mpenzi wako acha kumpa kila siku ili siku akikosa ndipo azikumbuke.
Noma
 
Anza kumpunguzia hela kila siku Hadi abakiwe na 2000 elfu mbili kwa siku.

Biashara ni yako maamuzi ni yako punguza kujieleza Sana kuwa mtu wa vitendo tu.huyo sio mkeo ni paka shume kaba mapaka mengine.

Bro usisubiri Hadi upigwe Sana ndio ujue huyo fala hakufai ......
Kiufupi kwa hivyo ulivyo mfadhili lkn bado anakuona wewe fala.

Na kwa ulivyo fala kweli utaendelea kumchekea ......

Huyo usiongee Sana Anza kesho kumshushia hela kwa buku buku au buku mbili Hadi abakiwe na hela za kula na nauli tu ......

Ukitaka akufurahishe zaidi endelea kujifanya wewe jentromeni....au romantic.....nakuahidi atakufurahisha zaidi ya hapa.
 
Hatari sana
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Wanawake wengine hasara tu! Mtu unamshirikisha kwenye biashara yako unamlipa pesa bado anakuona mbahili?

Sasa alitaka akae tu nyumbani apewe hizo hela bure? Hawa ndiyo wanasababishaga wanawake wote tunadharaulika tu!
Na mwanaume anayehukumu wanawake wote kwa sabb ya kosa la mwanamke mmoja anajidharirisha vilevile.
 
Wanawake wengine hasara tu! Mtu unamshirikisha kwenye biashara yako unamlipa pesa bado anakuona mbahili?

Sasa alitaka akae tu nyumbani apewe hizo hela bure? Hawa ndiyo wanasababishaga wanawake wote tunadharaulika tu!
Noma sanaaa
 
Mkuu kwanini uliamua kuanzisha mahusiano na mwanamke asiye na elimu? Huyo atakusaidia nini katika maisha yako ya kujikwamua kimaisha?

Kwanza, mwanamke ambaye hajasoma ukiwa katika mahusiano akiona siku umekosa hela huwa wanavijembe na dharau sana mfano "msomi umesoma ila una maisha magumu" bora yangu ambaye sina elimu ila wewe una elimu lakini unaishi maisha magumu"

Nakushauri piga chini huyo mwanamke mkuu. Usipofanya hivyo hakika hautasogea hata kidogo kimaisha maana utabaki kila siku kumuinua yeye ila kwa sababu ana akili za ajabu atazidi kukuangusha.Tafuta msomi mwenzako aisee.
 
Back
Top Bottom