Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

Mwanamke anajulikana pia kama mama.
Sasa hilo neno mama lilivyo naa mapana na marefu yake!
Maisha ya kiumbe chochote yanatokana na mama, kama nitakua nimekosea nisamehewe, baada ya Mungu ni mama.
Ni kwa muktadha huo nimejikuta nawaheshimu sana wanawake kwa kiasi ambacho hakuna kipimo.
Unaweza ukazungumza namna yoyote juu ya mwanamke lakini jua ya kwamba mwanamke ni more than all .

Ndugu mleta mada jaribu kutafuta mapungufu yako juu ya hili ulilo liwasilisha hapa kabla ya kufanya hitimisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeandika ukiwa kwenye hali gani?
 
Mzee wangu alishawahi kuniambia usimuendekeze mwanamke maisha ya starehe hata kama pesa unayo, akaniambia pia hakikisha asijue kipato chako yaani statement yako ya bank hadi salaryslip iwe siri yako hata akiba yako jitahidi kuwa msiri maana huwa hawariziki kwa kweli mzee sikumuamini

Nna mwanamke wangu ambaye niko nae kwenye mahusiano mwaka wa tatu huu ana miaka 23, hana elimu yoyote ya maana , alizungushaza olevel akawa mtaani tu maana analelewa na ndugu wazazi alishapoteza

Nimeanza nae mahusiano akiwa kwenye hali tete maaana alikuwa akiishi maisha magumu sana hata hao ndugu kumjali walikuwa hawamjali, wanaume aliokuwa nao ndio wale masharobaro kula kwa mama

Hivyo kuanzia mwaka huu umeanza nikaona maisha ya mwanamke kukaa nyumbani tu si mazuri nikaona nimpush na yeye aingize kipato na mimi majukumu ya kutoa pesa ya matumizi kila siku yapungue nipate ahueni na yeye apate pesa afanye mambo yake ya muhimu

Hivyo nikawa nashirikiana nae kwenye biashara zangu kila siku, nikawa namlipa 15,000 siku nyingine 20,000 hadi 17,000 na siku hali ikiwa tete mara chache sana nampa 12,000, hapo nauli,kula,vocha juu yangu mimi na akirudi nyumbani kwao halipi kodi, maji wala chakula hanunui anakikuta mezani ye hela nayomlipa ni kuweka tu

Lakini wakuu kipindi cha hivi karibuni akawa amenza malalamiko na vijembe vya chini chini yaani anasema simjali, mean simpi pesa, mean mimi ni bahili, vijembe anaweka hadi wahtsapp mwanaume bahili hafai ila huwa nakausha tu napita kimya kimya

Ila sikutegemea zarau kama hizi maana nilitegemea mwenzangu tunachotafuta na kugawana angerizika lakini now anataka nimpe na pesa nyingine tena ya matumizi hapo ndio nimechoka

Ila nachowashauri tu hivi viumbe tuishi navyo kwa Tahadhari sana maana haviriziki wala kujua ugumu wa kutafuta pesa , na unachowapa hawaridhiki wanaona wanahitaji kikubwa zaidi ya walichonacho
huyo anasumbuliwa na ulimbukeni. Bora kakuonyesha mapema maana huko mbeleni atakisumbua sana. Uamuzi ni wako kusuka au kunyoa.Watu waliotoka familia zenye maisha duni mara nyingi wana matatizo.
 
Eti mwanamke mwenye miaka 23 huyo mwanamke au mtoto?

Mwanamke anaanza kujua thamani ya ndoa above 28 huko.

Below hapo piga mbupu tembea.
Ni kweli bado huyo hajakomaa kwa level ya wanawake wa kizazi hiki. Kizazi cha zamani huyo ni mke anayejielewa tayari.
 
Achana nae huyo mkuu, bila shaka huyo atakau na jini LA chuma ulete
 
Back
Top Bottom