Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hi!
Mwanamke hata kutumia fedha ambazo amezizalisha kwenye biashara yake anaona hasara
Mwanamke hata kutumia mshahara wake kununua mahitaji yake anaona hasara.
Cha ajabu ukimtoa out na kumwambia awe free kuagiza chochote unaweza kuona anaagiza kuku nusu wa sh. 10000, juice ya sh. 5000.
Hii maana yake nini? Wanaona fedha za mwanaume hazina akili, wanaona wanaume ni mijinga mijinga, milofa.
Yaani mwanamke ni rahisi sana kuomba elfu 20 kwa mwanaume yetote maadamu tu analijua jina lake.
Mwanamke anafungua biashara na kuiendesha lakini pesa ya kula na kusuka hataki kuchomoa kwenye biashara yake.
Mimi hawa watu nishawashitukia, siwapi pesa. Kadri unavyowapa pesa ndivyo wanavyokuona huna akili, chizi, mwendawazimu ingawa watakupamba kwa maneno mazuri na ikiwezekana utapewa ukojolee mahali pake basi.
Niliona dada mmoja mkoba wake una zaidi ya laki moja alishindwa kumsamehe bodaboda sh. Mia 5 , ikabidi azunguke kuomba pesa ya kumlipa boda na mwanaume mmoja mjinga akamlipia.
Ilikuwa hivi, boda alipaswa kulipwa sh. 2000, dada kaniomba Mimi nimwazime buku 2 amlipe boda lakini kichwa changu kiling'amua kuwa wanawake ni watu wa kupenda kitonga. Nikamwambia sina hata mia akachomoa msimbazi na kumpa boda, boda akampa dada 7500 na kumwambia sh.500 sina dada akampoka fedha bodaboda na kuanza kuomba msaada , boya mmoja akamlipia 2000 kwa makubaliano kuwa anamwazima. Ndo ikatoka mazima.
Narudia tena: Pesa mpe ndugu yako wa damu na mke wako tu. Na unapomsaidia mtu kuwa majini usije kumsaidia mtu ambaye amekuja kwako kuomba msaada kwa kutumia jinsia yake.