LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Hahaha msusi akiwa mbaya na panadol juu,nikitoka kusuka huwa naapa sisuki tenaaa,ila nywele zangu zikishanichosha kuchana na kubana narudi kusukakwani ukiendaga kusuka mabutu huogopi shughuli ya kulala hiyo siku.... ndo urembo best.
uzuri kwa hii shughuli ikiisha unasahau...