Wanawake: Nywele za sehemu za siri ni kero na karaha

Wanawake: Nywele za sehemu za siri ni kero na karaha

aliyekwambia anaenda kushikwashikwa ni nani?

na hisia zinakujaje wakati makumi ya nywele yanachomolewa kwa wakati mmoja?

hii ni kazi kama zingine na mtu akija na agenda zingine atafukuzwa.
Wangejua hio waxing ilivo painful hata wasingeleza habar za kupata ashki cjui
 
Issue sio nani anaona nini,issue wengine viwembe havitupendi,waxing ndo inatutoa softyyy
Kwani hiyo waxing huwezi kufanyiwa na mumeo....au boyfriend wako...???
Hivi huoni aibu au kinyaa kuanika tupu zako hovyo kwa sababu kama hii......??
 
Hairy bits turn me on, well..kinda of..only that I'd not go down on her!!
71d33d6025a4ed1eea866652e320e313.jpg
e3edbd5bc29bfbe0aa7a9fac1e70921c.jpg
Mhhhhhhh!!!
 
Kwani hiyo waxing huwezi kufanyiwa na mumeo....au boyfriend wako...???
Hivi huoni aibu au kinyaa kuanika tupu zako hovyo kwa sababu kama hii......??
Kwa kweli haiwezekani na huwezi kujifanyia,inahitaji ujuzi na vifaa,nadhani u should Google to atleast see how waxing is done
Aibu/kinyaa kwa kweli sina coz naenjoy benefits za ngozi nyororooo
 
Kwa kweli haiwezekani na huwezi kujifanyia,inahitaji ujuzi na vifaa,nadhani u should Google to atleast see how waxing is done
Aibu/kinyaa kwa kweli sina coz naenjoy benefits za ngozi nyororooo
Kwanini asikufanyie mumeo....??
 
Dada angu hiyo kazi ndio ila haina tofauti na ile ya kufanyiwa masaji huwezi kunambia mtu anaishi kushika nywele tu ngozi asishike kwa sababu hiyo ishu inafanya kwa mikono
Kuna tofauti massage huwezi kuta mwanaume anafanyiwa na mwanaume mwenzie ni wa kike ndo anamfanyia and vice versa, na massage inakurelax mtu na ukishikwa muda mrefu hata uwe mgumu vipi lazma utaamsha hisia tu
Waxing ni unafanyiwa na mwanamke mwenzio, ndani ya dk 10,Ina maumivuu,wax hio inakuwaga ya moto hivi wanapaka wanavuta kwa nguvu hata km we ni mtaalamu wa kuamsha ashki waxing ni mwisho wa relii huwezi kutulia kuvuta hisia kwa yale maumivu
 
Unabisha bure tu hivi katika viungo vyenye hisia kichwa na kidevu unaviweka...labda unambie kama wewe hata wakikushika maeneo hupati hisia zozote, mana waxing inafanya kwa mikono hasa vidole ndo hutumika zaidi kunyofoa hizo nywele na kwa vyovyote vile lazma mkono uguse ngozi na sehemu zingine nyeti
Ushawahi fanya hio waxing au unabisha tu
Kafanye afu njoo utoe mrejesho
 
? Na wale ambao hizi nywele zimeeksitendi mpaka kwenye mfereji wa makalio inabidi ahudumiwe na watu watatu. Mmoja anashikilia la huku mwingine la huku mwingine anawaksi! lol. Kama kuna anayefahamu saluni wanayosuka hizo nywele anifahamishe nami nikarembwe jamani japo mwanzo mgumu. Kipara sipendezi.
DI salon. nyuma ya best bite, Namanga.

LOL and no mmoja tu anatosha.
 
Za wajapani ziachwe tu..ila sisi wabongo kipilipili hapana.
 
Back
Top Bottom