Anna Leonard
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 219
- 118
Mmmmh...Mshana jr umempata wapi hyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh...Mshana jr umempata wapi hyu?
Nenda pharmacy kubwa zipo cream za kuondolea hizo madini.Nilipoanza kusoma nikajua utaweka nondo nzur kuhusu dawa zinazotumika kunyeka hii misitu. nimechoka kunyeka kwa kutumia wembe wa mkono. Tafadharini naomben msaada ktk hili naitaj ijue dawa za kunyolea
Tena wananyolewa na vivulana vya kikongo babu eheeeBado natafakari mwanamke anawezaje kwenda saloon kwa ajili ya kunyolewa nywele za sirini........???
No ni wanaume wanafanya hii kazi na wakiona una uhanga wanavamia. Hata wanawake wanasaga tu. Salon hatareMpwa anasaidiwa na watu wa saloon wanawake tu
Katika fukwe za kijerumani ambazo baba, mama, mtoto na mjukuu wanavua nguo na kuanza kuogelea. Wengine huwa inashindikana ingawa wao husema mbona Afrika ni sehemu ambayo kwa makabila mengine wapo uchi. Uchi wako Mwafirika lazi uheshimiwe unaoneshwa kwa unayemchunuku tutupu zako ndo zimebeba utu wako? aisee
.
sioni ubaya wa utupu. sijui kwanini inaonwa kitu cha ajabu! unawajua maNudists? nikawe nudist kabisa. natamani siku dunia nzima tuwe manudists tu.
and yes Nina mtu mmoja anayenifanyiaga.
.
Katika fukwe za kijerumani ambazo baba, mama, mtoto na mjukuu wanavua nguo na kuanza kuogelea. Wengine huwa inashindikana ingawa wao husema mbona Afrika ni sehemu ambayo kwa makabila mengine wapo uchi. Uchi wako Mwafirika lazi uheshimiwe unaoneshwa kwa unayemchunuku tu
Mafunzo kwa vitendo...Post ingenoga ingekuwa na mapicha
Bonge la Point NduguInatakiwa mwanamke aache kama kipanki fulani hivi kwa juu....ambacho kitakuwa kama antena ya mawasiliano ya hisia.....
Aya sema athante kwa mleta madaJamani jf raha sana. Leo nimenuna sina hela ila nimejikuta nacheka sana
Unabisha bure tu hivi katika viungo vyenye hisia kichwa na kidevu unaviweka...labda unambie kama wewe hata wakikushika maeneo hupati hisia zozote, mana waxing inafanya kwa mikono hasa vidole ndo hutumika zaidi kunyofoa hizo nywele na kwa vyovyote vile lazma mkono uguse ngozi na sehemu zingine nyetimassaging unaenda kushikwa na kurelax.
waxing unaenda kuchomolewa nywele na kuugulia maumivu.
vitu vingine ni akili yako tu. hivi kinyozi akikushika kichwa na kidevu unamtamani??
punguzeni mawazo hasi/ ya ovyo.
Afu mtu anakwambia wananyofoa nywele tu,mwanaume ukishindwa mnyoa mkeo akienda huko ukiona hali inaanza badilika ndani ya nyumba usimtafute mchawi..hi haina tofauti sana na massaging watu wanapandishwa nyege zikipanda...Mafunzo kwa vitendo...
![]()
Mi si ungi mkono Hoja mwanamke kwenda kunyolewa ktk masaloon banaAfu mtu anakwambia wananyofoa nywele tu,mwanaume ukishindwa mnyoa mkeo akienda huko ukiona hali inaanza badilika ndani ya nyumba usimtafute mchawi..hi haina tofauti sana na massaging watu wanapandishwa nyege zikipanda...
Naitumia kwa dharura lakini siipendi kwa mwaka labda mara 1 lakini most of the time natumia ile ya sukari,hiiHaina madhara yoyote hiyo? We ndio unaitumia?
Anasema kuwa kinena kilichonyolewa hukumbwa na hatari kubwa ya kupata maambukizi ya maradhi kama vile 'herpes’, kutokana na majeraha ambayo huwa wazi kwa virusi vinavyopatikana kwenye viungo vya uzazi.
Kulingana na Chris Hart, mshauri wa masuala ya mahusiano, suala la mahaba limewakanganya wengi kudhani kuwa nywele hizi huimarisha maisha haya.
“Mahaba ni suala la kisaikolojia. Kuna watu wanaofurahia nywele hizi ilhali kuna wengine ambao hisia zao za mahaba huamshwa na mazingira mepesi, kumaanisha kuwa hakuna kiwango kamili cha jinsi sehemu hii inavyopaswa kuwa,” aeleza
NB: Binafsi Huwa nanyoa but naacha kidogo
INAITWAJE HIYO ? nataka niinunue nikaitumie kwa NGOZEE wangu asee!!Naitumia kwa dharura lakini siipendi kwa mwaka labda mara 1 lakini most of the time natumia ile ya sukari,hii
nikitumia week2 nyingi nywele zinaota tena kwa kasi,lakini nzuri chukua jaribu sio mbaya...
Veet hair cream remover inakua kwenye tube kama ya dawa ya msuwaki,au kwenye kopo kiduchu,utania kaanayo 5-8 minINAITWAJE HIYO ? nataka niinunue nikaitumie kwa NGOZEE wangu asee!!
mana huwa natumia sabuni ya mbuni tu nampaka mapovu afu nakwangua hadi nakipata kipara saaaafi!!
Yani hiyo ya sukari ndio hata picha nayo sina nabaki njia pandaNaitumia kwa dharura lakini siipendi kwa mwaka labda mara 1 lakini most of the time natumia ile ya sukari,hii
nikitumia week2 nyingi nywele zinaota tena kwa kasi,lakini nzuri chukua jaribu sio mbaya...