Wanawake: Nywele za sehemu za siri ni kero na karaha

Wanawake: Nywele za sehemu za siri ni kero na karaha

Mpwa anasaidiwa na watu wa saloon wanawake tu
Mpwa kuna haja gani ya kuanika tupu zako kwa watu wasio na mamlaka ya hata kuiona nguo yako ya ndani...??
Mimi nadhani jambo hili linaongeza sana mahaba na mwenzio kama utamshirikisha katika utendaji.....
 
ila atashikwashikwa na knembe anapandishwa hisia kila siku mwisho wa siku anatamani mambo mazuri ya saloon we unaanza jiuliza mbona kabadilika siku hizi huyu...
aliyekwambia anaenda kushikwashikwa ni nani?

na hisia zinakujaje wakati makumi ya nywele yanachomolewa kwa wakati mmoja?

hii ni kazi kama zingine na mtu akija na agenda zingine atafukuzwa.
 
Una mawazo hasi.

hiyo ni kazi kama zingine. kama daktari au nesi.

na MTU anayeweza kujiwax mwenyewe simuamini na mtoto kabisaa. inahitaji roho
Hapana dada si kama nina mawazo hasi....bali najenga taswira ya mtu anayethamini tupu zake...tupu zetu ndio zimebeba utu wetu....na sio kila mtu anapaswa kuziona....sasa kama utakuwa unafanyiwa sijui hiyo waksi...na saloon mbali mbali utakuwa na staha gani mbele ya jamii....au ndio utamteua mmoja tu wa kukufanyia hivyo....??
 
Kama unaweza kustahmili kiduchu basi fanya waxing ya sukari mwanzo utahisi inauma lakini ukisha zowea haiumi,ila nywele zina chelewa kuota wanafanya dar kuna saloon nyingi au kuna wadada wanakuja nyumbani kukufanyia kama unataka.
Waxing ya sukari unafanyaje?
 
Hapana dada si kama nina mawazo hasi....bali najenga taswira ya mtu anayethamini tupu zake...tupu zetu ndio zimebeba utu wetu....na sio kila mtu anapaswa kuziona....sasa kama utakuwa unafanyiwa sijui hiyo waksi...na saloon mbali mbali utakuwa na staha gani mbele ya jamii....au ndio utamteua mmoja tu wa kukufanyia hivyo....??
tupu zako ndo zimebeba utu wako? aisee
.
sioni ubaya wa utupu. sijui kwanini inaonwa kitu cha ajabu! unawajua maNudists? nikawe nudist kabisa. natamani siku dunia nzima tuwe manudists tu.

and yes Nina mtu mmoja anayenifanyiaga.

Ok.....dunia ni yako, chaguo ni lako....
 
aliyekwambia anaenda kushikwashikwa ni nani?

na hisia zinakujaje wakati makumi ya nywele yanachomolewa kwa wakati mmoja?

hii ni kazi kama zingine na mtu akija na agenda zingine atafukuzwa.
Dada angu hiyo kazi ndio ila haina tofauti na ile ya kufanyiwa masaji huwezi kunambia mtu anaishi kushika nywele tu ngozi asishike kwa sababu hiyo ishu inafanya kwa mikono
 
Dada angu hiyo kazi ndio ila haina tofauti na ile ya kufanyiwa masaji huwezi kunambia mtu anaishi kushika nywele tu ngozi asishike kwa sababu hiyo ishu inafanya kwa mikono
massaging unaenda kushikwa na kurelax.

waxing unaenda kuchomolewa nywele na kuugulia maumivu.

vitu vingine ni akili yako tu. hivi kinyozi akikushika kichwa na kidevu unamtamani??

punguzeni mawazo hasi/ ya ovyo.
 
Mi napenda zikianza kuota zinachoma choma,naweka sura yangu pale kama najikunaa inakua rahaaaaaa
 
Mwenzio mie mshamba

Nikifika dukani naulizaje sasa?

Zinapatikana maduka gani? Au lolote
kama uko dar nenda kwa Msupuu yupo Kinondoni tel 0653328281 mwambie unataka Wax na karatasi zake zote kwa elfu 20
lakini nakushauri nenda saloon wakufanyie wanakua nazo kama unataka mtu wa saloon anakufata nyumbani anakufanyia..
 
Ooh niko Arusha mrembo
 
Back
Top Bottom