Wanawake: Nywele za sehemu za siri ni kero na karaha

Kama unaweza kustahmili kiduchu basi fanya waxing ya sukari mwanzo utahisi inauma lakini ukisha zowea haiumi,ila nywele zina chelewa kuota wanafanya dar kuna saloon nyingi au kuna wadada wanakuja nyumbani kukufanyia kama unataka.
Wanafanya kwa akina wanawake tu au na akina baba
 
Point less
 
Aisee wanawake wanamakorokoro kunyoa nywele za siri eti mpaka salaan haya msisahau na za huko za tigoni sjui mtaweka wax nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…