Wanawake, pesa au mapenzi ya dhati? Wanaume, tako au tabia nzuri?

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
233
Reaction score
298
Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati?

Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri?

Twende kazi...
 
Huwa nawaaambiaga watu kuna wanawake wa aina 2 duniani

1. Wa kuolewa(good personality).
Atamuheshimu mumeo,na atalea watoto kwenye misingi bora kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Atakuwa na akili ya kujiongeza kupata pesa endapo mumeo kafa au amekwama bila dharau atakuwa submissive kwa mmeo at any time(t),ni Mcha Mungu,ni mchakarikaji,hamdharau mtu,hana maneno machafu
Wanachangia 30% of women population
Sio kwamba ni perfect la hasha ila ni perfect kuitwa mke wa KIDUME20

2. Wa kuchezewa (bad personality). Hawa sina maneno mengi huyu mkojoleee tu kama KIDUME20 anavyofanya alafu mkimbie wanafaa kuwa (single maza,wagumba,malaya,)
Hawafai kuheshimiwa na jamii sababu ya tabia zao mbovu hivyo ni ruksa mwanaume yeyote kukojoa na kusepa wanachangia 70% of women population
Sio ni imperfect la hasha ila ni perfect kuitwa danga au mchepuko wa KIDUME20

Thread ifungwe tafadhali 😑
 
Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati?

Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri?

Twende kazi...
Wanaume tunaangalia vyote tabia nzuri + Tako. Mwanamke hana tako utakuwa umeoa dume au msukule?
 
"I'm not working nine hours a day, just to come back home and look at a flat @ss" - mshkaji mmoja hivi.

Sasa hivi analalamika, "mke wangu ni kilaza wa dunia. Uwezo wake wa kufikiri ni mdogo mno".
 
[emoji119]
 
huyu anaweza kugongwa hata na dogo wa sekondari kidato cha pili au cha tatu... wanawake vilaza ni mtihani sana! 😔
 
Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati?

Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri?

Twende kazi...
Natumia Mantiki nyakati za hitaji la tabia nzuri na nyakati za kuyatumia macho chaguo ni Tackooz
 
Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati?

Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri?

Twende kazi...

Ah tako huwa kanamzuka nyie.. ndipo shingo za mamen zinapovunjikiaga huko road walah vile
 
Nimeunda time itaenda Fanya uchunguzi, harafu naomba tens usiniulize maswali ya kipuuzi. Roma voice in nchi ya ahadi
 
Back
Top Bottom