Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

ningekuja pm mkuu,,sema napoishi gari haziingii kabisa.
Ahaaa dada hama huko mlimani au mabondeni utakosa bahati mkaka anakuja na gari lake akose pa kulipaki? Hama haraka
 
Sio kila anaekuangalia sana amevutiwa na wewe, wengine wanakuwa wanakishangaa labda kuna kitu ambacho si cha kawaida unacho (huenda ulikuwa hujachana nywele alafu kichwani Kuna mabaki ya vipande vya magodoro (magodolo ya enzi zile anabaki anakushangaa)

By the way, shida sio bidada kuwa na haraka bali shida ipo kwako kwa kujifanya una heshima umeogopa macho ya watu utasema unafanya biashara ya magendo wakati kupenda ni mara moja hata kama mtu yupo na mzazi wake unajipenyeza tu
 
Vibinti vya siku hizi vinakimbizana na pesa tu.

Huyo mwanamke anaeongoja apate mwanamme wa maana barabarani ni dada poa tu.

Nenda kona bar au Ohio, wale wa ubungo wamerudi au ndiyo bado wanapigwa vita?

Huko ndiyo kwenye wanawake wa barabarani, tena wametulia tuli, hawana mbio wala haraka.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
gari itakua vits au ist mana watu wenye gari hizo ndio mamboyenu kuacha gari na kufukuzia mademu.

siwezi kuacha amaroki yangu au sport nifuate UTI Mimi😕
 
Punguza utoto .
 
BONGE LA MWANA
 
Wewe ukiumwa tax itakufata vip?

Akuhamishe yeye? Ni sawa mazingira unayo ishi yanaweza kukucheleweshea bahati.
nikiumwa naita boda nakaa vizuuuri naenda hosp,, ingawa thanks God haijawah tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…