Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Sijui wanawake mnatuchukuliaje yaani tunaonekana ni watu ambao tuna shida za kila aina imagine mtu hujui status yake ila unawaza vile.
Kwanini utembee haraka..
Hiyo inaleta maana tofauti kwa wengine japo kwangu mimi ni poa kabisa
 
Back
Top Bottom