Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Jua kali hivi niache kutembea harakaharaka linichome kisa nataka mume 🀣🀣
 
Sijui wanawake mnatuchukuliaje yaani tunaonekana ni watu ambao tuna shida za kila aina imagine mtu hujui status yake ila unawaza vile.
Kwanini utembee haraka..
Hiyo inaleta maana tofauti kwa wengine japo kwangu mimi ni poa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…