Wanawake punguzeni maringo

Hahahah ila bongo
 
Hongera mkuu Kwa kutema nyongo. Uwe unafanya hivi unapopata changamoto. Huyo demu achana naye. Kwa mwanaume kukataliwa ni Jambo la kawaida Sana.
 
Ushapigwa cha mbavu mkuu pole sana, mbunye ni yake huwez kumpangia ampe nani amnyime nani
 
Single mama gani tena huyo kakukataa?? Kweli wanaume mna hekaheka!! Ndio mjue wanawake siku hizi hawaendekezi ujinga. Hadi single maza mwenye umri mkubwa kakukataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatariiii tupuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akataliwe jamaa yako, uchungu upate wewe na vichambo juu!!

Teh teh teeeh!
Huyu ipo siku atajisikia kichefuchefu na kutapika afu aseme amemsaidia mke wa jirani kubeba mimba
 
Huyu ana gundu tuu, na kwa hy hali hakuna namna ya kufuta hilo gundu.
Single maza wa miaka 40 kila mtoto na baba yake na anaishi kota bado akukatae hahaha hatari sana

Ila mwanetu naye kwa nini ahangaike na single maza mshangazi wakati kuna vibinti vibichi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…