Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Umerusha jiwe gizani ukisikia kelele jua kapigwa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuandika ujumbe wenye kufikirisha na kutoa njia ya kuona mbele ila hilo jina lako linanipa ukakasi.Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini!
Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa wanaume na kusubiri Mr. Right guy, mwaka unaisha bado upo single unazidi kuzeekea nyumbani na kugombania chakula na wadogo zako. Hebu jitahidini kupunguza mashauzi na kujifanya mna class sana kiasi kwamba mnataka cjui matolu handsome dark na mwenye pesa.
Badilikenii dada zetu usikubali kubaki nyuma ukitongozwa usikatae kubali hata utoe nuksi na mikosi kidogo. Utaendelea kukataa wanaume mpaka uwe kikongwe?
Wengine mnajazana kwenye maombi kutafuta wenza ila ukitongozwa unakataa eti hunifai, shauri zenu wengi mmeshaanza kuingia kwenye ushangazi na bado mpo single. Muda ni mwalimu mzuri.
View attachment 2458570
Hadi wakifika miaka 30 baada ya kuringa huku wakijuta waliowakataa wamekuwa smart guy na tayari wanamilikiwa na wengineHao ni wadada wa kwenye mitandao. Huku mtaani wanakuwa wapole sana
Kabla ya kuanza kuwafundisha hao wanawake,hebu jaribu kutafakari kuwa wewe ungekuwa ndio mwanamke,ungewakubalia wanaume wangapi kabla ya kujua kama huyu ni muoaji au muonjaji,maana kwa kumkubalia kila anaekuomba penzi ukidhani ni muoaji unaweza pia kuishia kuonjwa mpaka unazeeka...Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini!
Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa wanaume na kusubiri Mr. Right guy, mwaka unaisha bado upo single unazidi kuzeekea nyumbani na kugombania chakula na wadogo zako. Hebu jitahidini kupunguza mashauzi na kujifanya mna class sana kiasi kwamba mnataka cjui matolu handsome dark na mwenye pesa.
Badilikenii dada zetu usikubali kubaki nyuma ukitongozwa usikatae kubali hata utoe nuksi na mikosi kidogo. Utaendelea kukataa wanaume mpaka uwe kikongwe?
Wengine mnajazana kwenye maombi kutafuta wenza ila ukitongozwa unakataa eti hunifai, shauri zenu wengi mmeshaanza kuingia kwenye ushangazi na bado mpo single. Muda ni mwalimu mzuri.
View attachment 2458570
Ndo hapo sasa, mibebez yote inamilikiwa ndo maana wanaume ni full michepuko.Kwa taarifa yako kila ke ana mtu wake sasa sijui hao unaowasema umewatoa wapi.
Mfano kama Dar kila mtu anamuona mwenzake ni mwalibifu na kila mtu hana muda sahihi wa kutafakari mwenzake, labda tu muwe kanisa moja, sehemu ya kazi sio rahisi waliowengi ufika kazini na watu wao, mtaani nako sio rahisi ukizingatia unaondoka saa 12 na kurudi saa 3 usiku muda wa kuongea hapo katkati haupo, kwa mwendo huo utajikuta umegonga 30 bila kutarajia.Kabla ya kuanza kuwafundisha hao wanawake,hebu jaribu kutafakari kuwa wewe ungekuwa ndio mwanamke,ungewakubalia wanaume wangapi kabla ya kujua kama huyu ni muoaji au muonjaji,maana kwa kumkubalia kila anaekuomba penzi ukidhani ni muoaji unaweza pia kuishia kuonjwa mpaka unazeeka...
Shida ni wao wakitongozwa na mwanaume asiye na hela wanakataa ila akija mwenye pesa anakubali chap. Matokeo yake tumebaki kuwa na limbwi kubwa la masingle mothers. Wao swala la kuenda kuanza maisha na mwanaume asiye na kitu hawataki.Kabla ya kuanza kuwafundisha hao wanawake,hebu jaribu kutafakari kuwa wewe ungekuwa ndio mwanamke,ungewakubalia wanaume wangapi kabla ya kujua kama huyu ni muoaji au muonjaji,maana kwa kumkubalia kila anaekuomba penzi ukidhani ni muoaji unaweza pia kuishia kuonjwa mpaka unazeeka...
Umemaliza kila kitu mkuuKuna muda, ukikubali kila anayekuja, unajifungulia milango ya nuksi tu. Mtu sahihi anaweza tokea anywhere,anytime. Not necessarily now au katika mazingira ya sasa.
Sisi mahusband material tunaonekanaga kama mazombie,kisa hatuna range rover.Unaweza kuwa sahihi kabisa. labda tunataka wanaume ambao ni Mr. Perfect tukisahau na sisi tuna mapungufu fulani pia.
wakati wa Mungu upo ndio. lakini kuna muda ni sisi wenyewe tunamiss the time.
kuna rafiki yangu alikutana na mwanaume mzuri sana anaupendo mcheshi kasoro si mkristo sana ila alijitolea kuwa tayari kupita njia anayopitia ya kumpenda Mungu kwelikweli.
sema mdada akiona hii kitu sio kweli kama ndoto akajiona anamadhaifu pia. Hafanani naye. So alimuacha mwanaume ambaye alikuwa ndio mme wake.
sasa yuko single mwanaume inasemekana ameoa japokiwa rafiki yangu alipomfuatilia ni kama bado hajaoa ila anamwanamke mzuri. so inategemeana na mtu na muda Mungu akimleta mume sahihi. so ladies take care!