Wanawake punguzeni uongo

Wanawake punguzeni uongo

Unamchunguza bata? kwanini na wewe usimueleze ulio-ngonozembe nao ni wangapi?
hayo maswali usiyarudie kabisa kwani hakuna mzazi wako atakayekuuliza
mzigo umeupenda ishi nao
 
Ukweli upi sasa nawewe..kwahiyo ulitegemea kutokana na umri wake akujibu amedate na wanaume 9 au?!!..Kuna wengine bikira wametolewa na 28 usikariri mjomba.
 
Ukweli upi sasa nawewe..kwahiyo ulitegemea kutokana na umri wake akujibu amedate na wanaume 9 au?!!..Kuna wengine bikira wametolewa na 28 usikariri mjomba.
miaka 28 ndio atolewe bikra? labda ya ndogo mkuu, mazingira ya sasa hayampi nafasi ke ya kuitunza bikra yake walau hata akafikisha miaka 20, nadhani hata wewe ilitolewa under 20
 
miaka 28 ndo atolewe bikra? labda ya ndogo mkuu, mazingira ya sasa hayampi nafasi ke ya kuitunza bikra yake walau hata akafikisha miaka 20, nadhani hata wewe ilitolewa under 20
Bisha tu.
 
Ulibugi sana kuuliza hilo swali, kama ningekua huyo dada ningeanza kukupotezea mimi
 
Sasa ulitaka akujibu wangapi ndyo nafsi yako iridhike??, afu hilo swali lengo hasa ni kujua mileage ilivosoma sana ama kidogo??, then what
mkuu hili swali hua ni mtego kumjua ke alivo, akijibu 3+ huyo angalau bt akijibu 1 or 2 ujue hapo hamna kitu
 
Sasa ulitaka akujibu wangapi ndyo nafsi yako iridhike??, afu hilo swali lengo hasa ni kujua mileage ilivosoma sana ama kidogo??, then what
Tunataka tujue ili tujue tunafanyaje. Tukianza mechi tukabe na kushambulia kwa kushtukiza au tupaki basi kama ni akasombo dam
 
natumai hamjambo wakuu

jana nikiwa katika harakati zangu za hapa na pale nilikutana na dada mmoja matata wa age ya 27-30, nikawa nimemwelewa sana nikaomba tubadilishane contact akakubali bt alikuja nitibua nilipomuuliza ushadate na wangapi eti kwa umri huo ananijbu wawili, dah! alinikata stim kabisa hadi nikagairisha mtongoza.

niwaase wadada mpunguze uongo usio na tija coz kuna nyakati mtakuja chezea bahati mkachengana na magari ya mishahara.
Swali la kijinga sana hata Msukuma na Lusinde hawawezi kuuliza ujinga huu.
 
Natumai hamjambo wakuu

Jana nikiwa katika harakati zangu za hapa na pale nilikutana na dada mmoja matata wa age ya 27-30, nikawa nimemwelewa sana nikaomba tubadilishane contact akakubali but alikuja nitibua nilipomuuliza ushadate na wangapi eti kwa umri huo ananijbu wawili, dah! alinikata stim kabisa hadi nikagairisha mtongoza.

Niwaase wadada mpunguze uongo usio na tija coz kuna nyakati mtakuja chezea bahati mkachengana na magari ya mishahara.
Vipi wewe hobby yako ni kudate na wanawake waliokwisa date na wanaume milioni?
 
Tulishakubaliana ni wawili tu.
Idadi isizidi wawili.
 
Back
Top Bottom