Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Ni mambo ya ukisasa hayo, mdada amevaa wewe unayemtizama ndio unajionea aibu, sisi old fashioned kwa kweli hatupendi hizo pigo. Mtu kavaa, mchoro wa pelvic griddle na mbususu yote inachoreka, huko ndani amevaa chupi ya kamba(thong), matako yanatetemeka sio poa. Ukiingia nae ghetto unamuweka kimoja umetosheka...havutii wala!!
1669103802810.png
 
Nawasalimu,

Husika na kichwa hapo juu.

Sasa utandawazi unazidi kufanya wadada wachanganyikiwe zaidi. Kama mjuavyo mitindo ya mavazi mengi yanazidi kupamba moto kulingana na mitandao ya kijamii.

Unakuta mtu akiona wasanii wa nje na yeye anataka avae kule kwao Mavusha. Pia wamekuwa wakiiga nguo za wasanii wanazovaa bila kujua nguo na mazingira.

Sio kila nguo ni ya kuvaliwa ukiwa kama binti au mwanadada unaejielewa. Sasa kumekuja kamtindo fulani ka vitaiti na li fulana likubwa kwa juu.

Utakuta mrembo anatembeza vipaja nje alafu kwa akili zake anaona amedamshi.

Hizi "Fashoni" zinawapele kapeleka tu.

Dtila.

View attachment 2390958
Huyu mbona amevaa vizuriii, DSM kuna bar wahudumu wameamriwa vaa tight na chp ya kamba tuuu, juu top nyepesi na fupii - vijana wanajazana sana humo kwa hizo bar
 
If you don't wanna catch feelings don't care them shit.
 
Basi shogaa wanaume wanapendaaaa!! heee! hasa km umejaliwa tuppaja tulio jazia kwa mbaaali! na kazigo ka haja....basi ukipita ivi wanajinyea ivi.....weee! hata nyumba watauza kiutaniutani tuu!

tuache tu sisi ndo dawa yao hao!! hawana ujanja!! ukiwaza saaan hili kumbuka kale ka wimbo ''no womano no cry'''
 
Huyu mbona amevaa vizuriii, DSM kuna bar wahudumu wameamriwa vaa tight na chp ya kamba tuuu, juu top nyepesi na fupii - vijana wanajazana sana humo kwa hizo bar
Tangaza biashara,tutajie jina la hio bar mkuu
 
Back
Top Bottom