Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Ni mambo ya ukisasa hayo, mdada amevaa wewe unayemtizama ndio unajionea aibu, sisi old fashioned kwa kweli hatupendi hizo pigo. Mtu kavaa, mchoro wa pelvic griddle na mbususu yote inachoreka, huko ndani amevaa chupi ya kamba(thong), matako yanatetemeka sio poa. Ukiingia nae ghetto unamuweka kimoja umetosheka...havutii wala!!
 
Tatizo hawa watu hawajui thamani ya miili yao. Yaani hawana sehemu za siri tena.
Hivi kwa mfano hawa wadada wameolewa hao waume zao wanajivunia nini kwa hawa wadada maana vitu vya sirini vina thamani yake.
Mambo ya kifalme yanakuwa na siri za ufalme. Je hawa watu wanakuwa na siri gani tena?
Tena unavyomuona hana siri katika mwili wake ndivyo alivyo katika maisha hana siri. Ndio wanaokuja kusimulia hata wanavyofanya na waume zao huko chumbani. Sawasawa tu wangechukua kitanda wakiweke Pale Kariakoo halafu wafanye vitu vyao pale.
 
Kuna wale wafanya mazoezi barabarani huku mbunye zao zimejichora kabisa.wanawake ninyi badilikeni.
Jana nimekutana nae anatoka kufanya mazoezi..dah! niliona aibu!
Yaani tumbua lote limejichora nje ya tight,halafu kwa akili ya haraka niligundua yule bibie anafahamu vizuri maungo yake yalivyo na pengine alifanya vile ili watu waone. Hatariii!
 
Kipimo cha mwanamke kujitambua ni kumuangalia kwanza vile anavyousitiri mwili wake akishindwa kustiri mwili wake ujue hilo ni tatizo anafaa tu kupiga nae picha siyo kwa matumizi mengine
Yaani
 
Back
Top Bottom