Ni mambo ya ukisasa hayo, mdada amevaa wewe unayemtizama ndio unajionea aibu, sisi old fashioned kwa kweli hatupendi hizo pigo. Mtu kavaa, mchoro wa pelvic griddle na mbususu yote inachoreka, huko ndani amevaa chupi ya kamba(thong), matako yanatetemeka sio poa. Ukiingia nae ghetto unamuweka kimoja umetosheka...havutii wala!!
Mwanamke wa hivo kula maliza kimbiatena bila hata ya woga. Angalia pita zako, hawanaga aibu siku hizi.
Tunakoelekea wanawake watatembea uchi wa mnyama kama huamini angalia tiktok
Huyu mbona amevaa vizuriii, DSM kuna bar wahudumu wameamriwa vaa tight na chp ya kamba tuuu, juu top nyepesi na fupii - vijana wanajazana sana humo kwa hizo barNawasalimu,
Husika na kichwa hapo juu.
Sasa utandawazi unazidi kufanya wadada wachanganyikiwe zaidi. Kama mjuavyo mitindo ya mavazi mengi yanazidi kupamba moto kulingana na mitandao ya kijamii.
Unakuta mtu akiona wasanii wa nje na yeye anataka avae kule kwao Mavusha. Pia wamekuwa wakiiga nguo za wasanii wanazovaa bila kujua nguo na mazingira.
Sio kila nguo ni ya kuvaliwa ukiwa kama binti au mwanadada unaejielewa. Sasa kumekuja kamtindo fulani ka vitaiti na li fulana likubwa kwa juu.
Utakuta mrembo anatembeza vipaja nje alafu kwa akili zake anaona amedamshi.
Hizi "Fashoni" zinawapele kapeleka tu.
Dtila.
View attachment 2390958
kama haka kamdada ukifanya ivi kidogo tu umefika basi rahaaaaaaa!
Basi shogaa wanaume wanapendaaaa!! heee! hasa km umejaliwa tuppaja tulio jazia kwa mbaaali! na kazigo ka haja....basi ukipita ivi wanajinyea ivi.....weee! hata nyumba watauza kiutaniutani tuu!Nawasalimu,
Husika na kichwa hapo juu.
Sasa utandawazi unazidi kufanya wadada wachanganyikiwe zaidi. Kama mjuavyo mitindo ya mavazi mengi yanazidi kupamba moto kulingana na mitandao ya kijamii.
Unakuta mtu akiona wasanii wa nje na yeye anataka avae kule kwao Mavusha. Pia wamekuwa wakiiga nguo za wasanii wanazovaa bila kujua nguo na mazingira.
Sio kila nguo ni ya kuvaliwa ukiwa kama binti au mwanadada unaejielewa. Sasa kumekuja kamtindo fulani ka vitaiti na li fulana likubwa kwa juu.
Utakuta mrembo anatembeza vipaja nje alafu kwa akili zake anaona amedamshi.
Hizi "Fashoni" zinawapele kapeleka tu.
Dtila.
View attachment 2390958
ndo zenu km unaukurutu wa kudumu unadhani utasemaje?? ivovivo!Ukahaba tu unawasumbua kutafuta attention, hakuna cha fashion wala nini
Tangaza biashara,tutajie jina la hio bar mkuuHuyu mbona amevaa vizuriii, DSM kuna bar wahudumu wameamriwa vaa tight na chp ya kamba tuuu, juu top nyepesi na fupii - vijana wanajazana sana humo kwa hizo bar