Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

MMOJA TAYARI KAOLEWA NA BWEGE FLANI HIVI.
BWEGE ALIPIGA GOTI WAKATI WA KUVISHA PETE,
ALILIA KAMA MTOTO KUPATA MKE MWEMA,
 
kwa sababu wanawake wanafanana na magari wao pia ni mali ko huvutiwa pia na mali nyingine ko ukiwa na mali unaweza pata mali nyingine ya mwanamke
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mbona amapiano!??
 
MMOJA TAYARI KAOLEWA NA BWEGE FLANI HIVI.
BWEGE ALIPIGA GOTI WAKATI WA KUVISHA PETE,
ALILIA KAMA MTOTO KUPATA MKE MWEMA,
Kwani uwa hampendi kupiga goti? Mnalichukuliaje hilo suala?
 
Mimi leo nilikua kituo flani cha afya nikiwa na Mgonjwa wangu pale nikaulizwa na Nurser wa zamu kuwa umeisha agiza boda aje kumpeleka mgonjwa wako nyumban maana alikuwa ameruhusiwa kuondoka nikamwambia kuna gari basi dada wa watu kachanganyikiwa mara ohh niachie hela ya jojo da hawa viumbe na magari huwaambii kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kusema Una gari, ndo yeye akaanza kuomba hela ya jojo? Woiiih
 
Mwaka wa kumi na tano huu nabadilisha tu magari sijawahi kukosa gari, tangu kijana mdogo tu, ila katu sijawahi tumia gari as human shield kupata warembo, wale waliosoma sheria za kivita wanaelewa....huwa hata nikiwa barabarani naendesha nikiona pisi kali huwa napita mbele kabisa nashuka bila yeye kuniona natembea na miguu namtokea one on one on ground level....maana mi najiamini mno kuwa personality yangu haijengwi na vitu
 
Ukiona hivo ujue kinachowaziwa hapo ni pesa na si vingineyo
 
Hapo sio gari ni mfuko wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…