Wanawake si wa kuwaamini hata kidogo, kaniambia ananiletea zawadi kaja mikono mitupu

Kabisa. Angeleta hata tende au mazagazaga mengine
Nipe mawasiliano yake,wewe unalaza damu demu ana upwiru anataka dudu wewe unataka akuletee tende, aliyekuroga ameshakufa,ama kweli penye miti hakuna wajenzi, anyway najua hii ni chai tu ili tucheke ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜„๐Ÿคฃ๐Ÿ˜„
 
Back
Top Bottom