Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake.
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.
Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.
Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.