Wanawake tafuteni hela zenu ni raha sana

Unataka kunambia cariha ukiwa na hela unakuwa na kinyaa na mb.oo?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Zinakuja KWA step na tofauti ukiwa na shida badala mtu akupe msaada ka binadamu mwingine una stress anataka akulale kwanza Yani huwa hainogi hyo kabisa. Ila nikiwa na vyangu na have fun na nimtakaye bila condition na stress
 
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.

Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.

Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.
Mawazo ya kihenga haya!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ila wanaume hawezi kukupa kitu bila kumpa kitu Yani loh,
Hilo ndo tatizo lao.
Wanaona pussy ndo kila kitu
Ndio maana tunaona heri tupate za kutumia halali kuliko kupata za mwanaume na majudo juu
Maana sa hv mwanaume ukimuomba pesa tu, anakuitia ghetto ukaichukue.
Ukifika huko mpaka uipate...mmegawana jasho
 
Kweli ukiwa na hela yako full confidence no stress hata na umalaya unaisha kabisa. Nashauri wanawake tutafte hela zetu Ili tuwe na amani Mimi binafsi nachukia kuomba omba, sio una shida una omba mtu hela badala akupe msaada anataka akulale
No free lunch!
 
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.

Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.

Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.
Watu ambao tuna hela, tunapenda mwanamke mpambanaji sababu HATUTAKI KUFUJA MALI KIZEMBE. Tunataka ziongezeke. Na ndio ukipata mwanamke anajielewa kwa hilo, mamilioni yako atayapata tu. Hata ikipotea kwa mradi ni sawa, lakini sio kila siku starehe tu. Kazi na starehe huku utajiri unazidi kuongezeka. Hata Jeff bezos na elon musk ambao ni matajiri na mabilionea kuliko wote duniani wakishika nafasi ya kwanza na ya pili duniani.. hata hao bado HAWARIDHIKI. Bado wanapambana kuongeza utajiri wao.

Na kosa la ndoa sio kosa la kufanya. Mtu wako wa kwanza kwa ukaribu katika maisha yako ni mke wako. Ukikosea hapo utakiona. Na ndio maana wanaume wanaharibikiwa. Ukimpata mzuri, utabarikiwa. Shangingi?? Lazima utaharibikiwa
 
It depends my dear Kuna Ile misaada ya utu ka kutoa sadaka bila condition KWA mwenye uhitaji hyo no problem na sio kutumia shida za wengine kujinufaisha
Everything has a price mkuu, trust me! Mwanaume kukusaidia tu for no obvious reasons labda akuone mshkaji wake(muwe marafiki wa kawaida) Ila kama ngono ipo katikati lazima you'll pay for it some day.
 
kazi ya kudanga ngumu sana...hapo wanawake mna moyo sana
 
Hilo ndo tatizo lao.
Wanaona pussy ndo kila kitu
Ndio maana tunaona heri tupate za kutumia halali kuliko kupata za mwanaume na majudo juu
Maana sa hv mwanaume ukimuomba pesa tu, anakuitia ghetto ukaichukue.
Ukifika huko mpaka uipate...mmegawana jasho
Sijui wanaume wa kizazi hichi Wana shida gani Yani hawajui kuhonga ndo maana hawana SAUTi kabisa, Ila wanatufundisha kujituma na kutafta za kwetu Ila wasahau heshima.
 
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.

Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.

Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.
Hili somo nimefundisha zaidi ya wanawake 7 amefaulu mmoja tena kapata c.Sijui wewe umewezaje kufaulu FULL?
 
Everything has a price mkuu, trust me! Mwanaume kukusaidia tu for no obvious reasons labda akuone mshkaji wake(muwe marafiki wa kawaida) Ila kama ngono ipo katikati lazima you'll pay for it some day.
Hapana kwa kweli mwenzako ana shida wewe wataka papuchi si umtatulie kwanza shida huko baadae akupe kwa ridhaa yake na sio shida, naona hyo kitu haiko fair.
 
Back
Top Bottom