Wanawake tafuteni hela zenu ni raha sana

Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.

Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.

Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridh

Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.

Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.

Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.
Kuna bidada nlitaka nimuwezeshe mtaji lakini baada ya kuona post yako nahis atakuwa kama wewe .....Sera ni ile ile Bora kuwapa hela ndogo ndogo mrudi tena kuomba nyingine sio kwa jeuri iyo.
 
Ndio maana nawaasaga vijana humu kuwa mwanamke wa miaka 20-24 hafai 😂😂😂! Ila kuanzia 25 na kuendelea walau anakuwa ameanza kukomaa kifikra unaweza panga nae mipango ya kimaisha sasa. Naona utabiri umetimia hatimae umekuwa mwanamke kamili sasa. Hongera sana!
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.

Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.

Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.
 
Kweli ukiwa na hela yako full confidence no stress hata na umalaya unaisha kabisa. Nashauri wanawake tutafte hela zetu Ili tuwe na amani Mimi binafsi nachukia kuomba omba, sio una shida una omba mtu hela badala akupe msaada anataka akulale
Eeh lazma upigwe mkojo kwanza ndio maswala ya miamala yaendelee utapewaje hela bure bure tu 😁
 
Eeh lazma upigwe mkojo kwanza ndio maswala ya miamala yaendelee utapewaje hela bure bure tu [emoji16]
Ndo Mana natafta hela zangu na ninakuwa na mwanaume nimtakaye Mimi sio KWA ajili ya hela zake, Bora buku yangu ya Halali na sio kunyamywasa kihisia au kingono
 
Women love money while Men love sex..
It's just a matter of makubaliano ya kupeana
Everybody loves money ndio maana wanaume tunapambana kuwa nazo. Ila its a matter of priority!

Mwanaume anasaka hela akipata mkondo mzuri wa hela anasaka papuchi za kujiburudisha hapa ndipo pesa zinaliwa sasa...Ila mwanamke yeye anatamani vitu vizuri vizuri vinavyotaka pesa always, hivyo ili akidhi tamaa zake atakubali awe na mwanaume wa kumpa pesa tu hio ndio priority yake ya kwanza then anakuwa free kukupa papuchi.

Hii ni Cycle ambayo iko infinity!
 
Ndo Mana natafta hela zangu na ninakuwa na mwanaume nimtakaye Mimi sio KWA ajili ya hela zake, Bora buku yangu ya Halali na sio kunyamywasa kihisia au kingono
Umeongea kitu muhimu sana na cha kweli! Wanawake wengi wapo na watu ambao hawawapendi sababu ya umaskini tu. Ila mwanamke akijua kutafuta ana chance ya kuwa na mwanaume ampendae by 100% japo kuna wanawake malaya huharibu zaidi sababu hukosa uvumilivu wa kustahimili mwanaume mmoja unakuta hatulii anabadili mabwana maana ana jeuri.
 
Nipo na kazi na kipato changu kizuri tu,lakini still napata huduma zote kutoka kwa babe,yaani kipato changu hakimuhusu,lazima anispoil,huwa najihudumia nikiwa single,wanaume Wana ego always wanataka kuonesha uanamme wao, so kwenye swala la pesa nawaachiaga asilimia mia.
Si ushukuru una huyo beby mwenye kipato cha kuku spoil! Ungepata beby ambaye hana mchongo au mchongo umekufa ghafla ungefanyeje?
 
Umeongea kitu muhimu sana na cha kweli! Wanawake wengi wapo na watu ambao hawawapendi sababu ya umaskini tu. Ila mwanamke akijua kutafuta ana chance ya kuwa na mwanaume ampendae by 100% japo kuna wanawake malaya huharibu zaidi sababu hukosa uvumilivu wa kustahimili mwanaume mmoja unakuta hatulii anabadili mabwana maana ana jeuri.
Tatizo jingine linalokuwa kwa kasi ni hili la wanawake wenye uwezo kiuchumi kuchukua hadi tabia za kiume.

Anaoa mwanaume fulani, akimchoka anapiga chini na kuchukua mwingine. Unaweza kuona hili kwa Shilole, tena hawana aibu kabisa.
 
Hilo ndo tatizo lao.
Wanaona pussy ndo kila kitu
Ndio maana tunaona heri tupate za kutumia halali kuliko kupata za mwanaume na majudo juu
Maana sa hv mwanaume ukimuomba pesa tu, anakuitia ghetto ukaichukue.
Ukifika huko mpaka uipate...mmegawana jasho
Hahahahahahah iliandikwa mtakula kwa jasho 😁😂😁😝
 
Tatizo jingine linalokuwa kwa kasi ni hili la wanawake wenye uwezo kiuchumi kuchukua hadi tabia za kiume.

Anaoa mwanaume fulani, akimchoka anapiga chini na kuchukua mwingine. Unaweza kuona hili kwa Shilole, tena hawana aibu kabisa.
Ndio maana nikasema kuna wanawake malaya, hawa akiwa na hela zake ni bure tu sababu wengi sio wastahimilivu 😂!

Yani kwakuwa ana hela, orders anazopewa na mume zinakuwa optional tu. Anaamua ipi afuate ipi asifuate. Ndio maana huishia kwenye migogoro na mwisho ndoa au uchumba huvunjika.

Unakuta kila siku ana bwana mpya bila hata haya, anawapishanisha kwake tu deile.

Kuna demu mmoja alikuwa Tenant mwenzangu yeye ni manager wa Lodge flani ya kitalii. Yule demu kipindi nilichoishi nae pale kwenye apartments amebadili vidume sio chini ya vi 4 na anaishi na watoto wakubwa tu mmoja wa form 2 mwengine std 6!

Ila hao wajomba waliozunguka na taulo chumbani kwa mama yao ni balaa.
 
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.

Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.

Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.
Your matured now,

Ila sidhani kama baadhi Ya wanawake wenzako kama watakuekewa , maana wengine wana vupaji Vya kuomba omba
 
Ndio maana nawaasaga vijana humu kuwa mwanamke wa miaka 20-24 hafai [emoji23][emoji23][emoji23]! Ila kuanzia 25 na kuendelea walau anakuwa ameanza kukomaa kifikra unaweza panga nae mipango ya kimaisha sasa. Naona utabiri umetimia hatimae umekuwa mwanamke kamili sasa. Hongera sana!
Asante sana.mnioe sasa
 
Back
Top Bottom