Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Unajitolea tu mpwa.Kwahio ulitaka apewe hela kizembe bila kuifanyia kazi 😂😂😂
Mbona wapo wanaotoa misaada bila kudai risiti au malipo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitolea tu mpwa.Kwahio ulitaka apewe hela kizembe bila kuifanyia kazi 😂😂😂
Wewe nimetaka tuwe wachumba ukanikataa sasa matatizo yamekuzidi unakuja na kuniomba hela tena aisee! Lazma nikutafune ndio nikupe hela 😂Unajitolea tu mpwa.
Mbona wapo wanaotoa misaada bila kudai risiti au malipo...
Labda hao wengine, yaani nirudi tena kwako kuomba msaada wakati najua fika utanimbato ndo unipe!Wewe nimetaka tuwe wachumba ukanikataa sasa matatizo yamekuzidi unakuja na kuniomba hela tena aisee! Lazma nikutafune ndio nikupe hela 😂
Hahahah hii kisoka tunaita "Both Team To Score" ama kisheria ni "Quid Pro Quo" Something for something!Labda hao wengine, yaani nirudi tena kwako kuomba msaada wakati najua fika utanimbato ndo unipe!
Lakini poa tu, kukupa penzi kwa msaada wa laki au laki 2 haina tabu.
Najua hutaondoka nayo, bali mimi ndio nitaondoka na pesa yako
Ila team moja ndio itaumia kuliko ingine.Hahahah hii kisoka tunaita "Both Team To Score" ama kisheria ni "Quid Pro Quo" Something for something!
Baadae ipi hio 😁 au muda ambao utakuwa na asali wako wa moyo baada ya kunitumia sana katika kutatua matatizo yako? Au mda unaponiita boya mbele ya mashost zako?Ila team moja ndio itaumia kuliko ingine.
Kwa maana hiyo Extrovert nikiomba pesa ya maji kwako lazima nichezee mshedede?
Tuoneeni huruma jama.
Mwanamke kaombewa kupewa.
Penzi linafatia baadae
Sio kila mtu ana taka kufanya hivo.Baadae ipi hio 😁 au muda ambao utakuwa na asali wako wa moyo baada ya kunitumia sana katika kutatua matatizo yako? Au mda unaponiita boya mbele ya mashost zako?
Hivi nani hawajui nyie 😁??? Kidume unajitutumua kusomesha mtu unajua akiua mnakuwa familia moja kumbe yeye wala hana mpango kabisa na wewe. Hio siku atakayokugeuka hutakaa uamini unachokiona na kukiskia.
Sasa ninyi mnataka akaangushe zigo kwa nani ??Sio kila mtu ana taka kufanya hivo.
Ila kuna wakati mwingine nyie wanaume mnasababisha tuwe makatili.
Mwanamke anaweza kukupa penzi bila tatizo ila sasa mkishapata chance hio....basi kila siku utakuwa unakuja kuangusha zigo kwangu.
Sasa kama ushaamua kunipa penzi ina maana sindio tumekuwa wapenzi tunaelekea hatu ya uchumba kisha ndoa 😁!!!Sio kila mtu ana taka kufanya hivo.
Ila kuna wakati mwingine nyie wanaume mnasababisha tuwe makatili.
Mwanamke anaweza kukupa penzi bila tatizo ila sasa mkishapata chance hio....basi kila siku utakuwa unakuja kuangusha zigo kwangu.
Akaangushe zigo kwa mkewe huko.Sasa ninyi mnataka akaangushe zigo kwa nani ??
Ndio maana mnasababisha watu wanakuwa na michepuko au waislamu wanakuwa na wake wengi.
Ahh wapi!Sasa kama ushaamua kunipa penzi ina maana sindio tumekuwa wapenzi tunaelekea hatu ya uchumba kisha ndoa 😁!!!
Au ulitaka ukinipa mara moja ndio basi tena? Nisiombe tena..
Kama ni malipo hakuna shida kulipia kila huduma ikihitajika.Akaangushe zigo kwa mkewe huko.
Kisa umenisaidia siku moja ndio unataka malipo ya penzi milele?
Unataka wote tuolewe,michepuko watatoka wapi?
Acha tuolewe mitara baba....kila mke na utamu wake.h
Hahahahah kwahio nanyie mmekariri hivyo! Wengine tunataka kujiweka kwa muda mrefu kidogo.Ahh wapi!
Aliyesema tukipeana penzi matokeo yake ndoa nani?
Wanaume wa siku hizi mnataka kuoa?
Mnataka kupiga na kusepa.
We Kama unataka kupiga piga...ndoa itajulikana mbele ya safari,ila tumalizane kwanza.
Kidate cha kwanza niulizie ndoa...hata nzi watanicheka.
Labda biashara za mitaani huko.Kama ni malipo hakuna shida kulipia kila huduma ikihitajika.
Ingawa offer na kukopeshana kwenye biashara hakuepukiki
Mia kwa mmoja aisee.Hahahahah kwahio nanyie mmekariri hivyo! Wengine tunataka kujiweka kwa muda mrefu kidogo.
Sasa mimi nikishakuwa mteja wa muda mrefu halafu nikawa nina "Kiwi🤣🤣" hutanionea huruma hata siku moja ??Labda biashara za mitaani huko.
Mtaji natembea nao, risiti natoa mwenyewe afu unikope.
Lipia bidhaa kila utakapo kutumia.
Unajua uchungu wa kukopeshwa msumbufu?
Kama ingekuwa hivo nyapu yangu ingekuwa na sugu aisee.Sasa mimi nikishakuwa mteja wa muda mrefu halafu nikawa nina "Kiwi🤣🤣" hutanionea huruma hata siku moja ??