Samwel Jr
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 1,311
- 935
. Mmmh itakuwa haramuNi salama hata biblia imeiruhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Mmmh itakuwa haramuNi salama hata biblia imeiruhusu
Kama ingekuwa hivo nyapu yangu ingekuwa na sugu aisee.
Achana na kutaka cha bure, mwingine akishakuwa 'mteja' mzoefu, anajipunguzia bei kidogo kidogo kisa eti ashakuwa mteja mzoefu...hakuna hiyo.
Pesa yako, huduma yako.
Ila team moja ndio itaumia kuliko ingine.
Kwa maana hiyo Extrovert nikiomba pesa ya maji kwako lazima nichezee mshedede?
Tuoneeni huruma jama.
Mwanamke kaombewa kupewa.
Penzi linafatia baadae
Acha tu shoga angu...wanaume wanashindana na walipotoka, ukiuliza sababu eti nimekula pesa yake, kwa pesa gani bhana ya kutugaragaza mpaka ukiingiza kidole hakipiti...uchi umeumuka kama mahamri ya 500.Na wanaume wengine walivyo na mashine jamani acheni walipie tu
Pesa wanawake wanatafuta lakin uchi uthaminiwe [emoji23]
Tumepoteana kwani kidogo.Nimemiss jukwaa letu tatizo ulipoteaa halaf ukamuombea mshana hapo ndio tatizo lilianza
Wajumbe washapoteanaa
Ila wewe nitakuomba hela tu siachiAisee leo wote hampendi kuomba hela...tutakutana tena kwenye uzi wa kuponda wanaume wasiotoa hela!
Nipooo madam, za kupotea jamani? Miss you.Acha tu shoga angu...wanaume wanashindana na walipotoka, ukiuliza sababu eti nimekula pesa yake, kwa pesa gani bhana ya kutugaragaza mpaka ukiingiza kidole hakipiti...uchi umeumuka kama mahamri ya 500.
Wanaume wathamini nyuchi zetu jamani.
Hata kama sio sabuni kusema itaisha ila wamezidi.
Hatuna pa kusemea, ila ujumbe wataupata au sio shogaleeeee....
Dinazarde nilikumiss sana shost.
Shunie kanikumbusha mbali sana
Espy sijui hata kama yupo jamani....khaaa!!!
Missing you too.Nipooo madam, za kupotea jamani? Miss you.
😂😂😂😂Unaemuomba sasa?? Hata shetani anakushangaa alivofulia
Wale wa tuma na ya kutolea wamekusikia na kwenye chama chao wamekutoa kwa tamko hili.[emoji2][emoji2]
Kweli ukiwa na hela yako full confidence no stress hata na umalaya unaisha kabisa. Nashauri wanawake tutafte hela zetu Ili tuwe na amani Mimi binafsi nachukia kuomba omba, sio una shida una omba mtu hela badala akupe msaada anataka akulale
HahahaIla jamani hakuna raha kama kua na mwanaume anakuhudumia kila anachoweza kabla hata haujaomba.
Yaani unakua unajihisi upo na mwanaume haswaa hata kama una hela zako unajishusha kwake. Na sex unampa ya uhakika kiroho safii.
Wanawake wengi hawapendi kuomba ila basi tu mambo ni magumu ukikaa kwenye nafasi yao utawaonea huruma hamna kitu kigumu kama kumuomba mtu hela ukiwa mtu mzima hata kama ni mzazi wakoNiseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake.
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.
Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.
Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.