Samwel Jr
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 1,311
- 935
. Je siyo njia haramu?Ahaaaa Ila hela yenu naipenda sema tu siiombagi mm kuna njia natumia niipate ionekane sijaiomba.
Hela ya mwanaume tamu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Je siyo njia haramu?Ahaaaa Ila hela yenu naipenda sema tu siiombagi mm kuna njia natumia niipate ionekane sijaiomba.
Hela ya mwanaume tamu jamani
Ni salama hata biblia imeiruhusu. Je siyo njia haramu?
Kweli ukiwa na hela yako full confidence no stress hata na umalaya unaisha kabisa. Nashauri wanawake tutafte hela zetu Ili tuwe na amani Mimi binafsi nachukia kuomba omba, sio una shida una omba mtu hela badala akupe msaada anataka akulale
Haitokaa itokee mm nimuombe hela mwanaume coz vihela vya kwangu nilivyo navyo nakula nakunywa naridhika na hicho kidogo nilicho nacho.
Ila sio mwamba hela yenu siitaki kuna njia naitumia kuipata bila kuiomba.
LAKINI.................
Kazi no moja ya mwanaume ni kuhudumia mwanamke. Hii ipo wazi wanaume msibweteke na watakaochangia wakificha makucha
Mwanaume anaejitambua lazima atoe matumizi hata kama hujaombwa tofauti na hapo kila mtu abaki na chake.
N.b mdada pesa yako msaidie mwanaume ambae anakusaidia tu.
Mungu wabariki wadada ambao hawajapata kazi mwaka huu wote wapate kazi.
Hayo mambo tuwaache wazungu,hawa dada zetu Bado wapo kwenye wimbi la ulimbukeni...
Yaaani unatafuta pesa ili umkomeshe/kumtambia mwanaume???....pesa itafute ili ikufanye kua huru kwenye maamuzi yako hasa kwenye mahusiano
Note: umeongea fact sana mkuu
Mwanamke akitumika sana anachoka na kukongoroka sana. Siyo sawa na mwanaume.
Sioni kama hili ni suala la kushindana mwishowe wanaume lao ni moja. Watakutumia tu huku wakiambizana.
Wakati huo wewe ukijawa na stress huku heshima yako ikishuka.
Unaweza kuwa na uwezo mzuri kiuchumi lakini ukawa very stressful. Furaha unaitafuta kwa mbinde.
Anakutesa wee na wewe ungehitaji msaada wa kibinadamu, na hamu ya ku do huna vile una stress anakwambia njoo. Mimi naona uhuru wa mwanamke ni kuwa na uchumi imara Ili mtu utoke na umtakaye kuomba omba inachefuaAkuzungusheee weee mi mwenzenu hizo kazi zilinishinda [emoji23][emoji23][emoji23]maana kulamba watu miguu huwa siwezi
Yani nikiomba hela ni Kama nimejishusha kiwango cha mwisho
Ajabu kuna wanaume wanaomba hela wanawake,huwa nashangaa
Hebu angalia kina Tunda, Ambar Lulu, Wema sepetu. Huwezi kuwalinganisha na kina Maua sama, Jenipher Kyaka, Nancy Sumary.[emoji28][emoji28]akitumika sana ana kongoroka??my furendi hao ma slay queen wadangaji wangekuwa wameisha sana
Mwanamke matunzo bana,mwanamke akiwa na nuru hips linatoka,ziwa linajaa linasimama,ngozi inateleza kama ya mtoto,tumbo linaisha akipiga gym na diet nzuri
Sijui tunaelewana kukongoroka ni kukosa matunzo haina uhusiano na kutumika
Wake za ndoa wenye stress na hawatunzwi na waume zao ndio huwa wanakongoroka wanakua kama vizee wakati ni wadogo tu
Wanawake tujipende uwiii tafuteni hela mjipende mtu una watoto wawili ila ukionekana kama upo 25 aisee,mambo ya kujiachia kuwa na matairi yamepitwa na wakati,always look sexy regardless of your age [emoji4]
Hebu angalia kina Tunda, Ambar Lulu, Wema sepetu. Huwezi kuwalinganisha na kina Maua sama, Jenipher Kyaka, Nancy Sumary.
Najua kila mwanaume ana taste yake, lakini nazungumza kama mwanamume, mwanamke akitumika sana anachoka mpaka anatia kinyaa.
Aunt Ezekiel wa Spare taili siyo wa sasa hivi, Irene Uwoya wa Oprah siyo wa sasa hivi. Zari kazaa sana lakini hajakongoroka kama Tunda.
Tena akianza kutumia na vipodozi vikali na vikuku, kutoboa pua mwishowe utachoka " a thousand times"
Anakutesa wee na wewe ungehitaji msaada wa kibinadamu, na hamu ya ku do huna vile una stress anakwambia njoo. Mimi naona uhuru wa mwanamke ni kuwa na uchumi imara Ili mtu utoke na umtakaye kuomba omba inachefua
Wanaume nyie ndio mtakula kwa jasho.Hahahahahahah iliandikwa mtakula kwa jasho 😁😂😁😝
Mimi nakutaka nitakupa 500k cash hiyo ni mbali na matanuziNiseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.
Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.
Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.
Kibongobongo hiyo 10M kwa mwaka ni pesa kubwa. Maana hata watumishi walio wengi wanalipwa Tsh 500,000 kwa mwezi ambayo ni pato la Tsh 6M per year.Tumilion 10 umeanzisha uzi jf kwel inabidi tuwawezeshe sana wanawake.
Wanaume nyie ndio mtakula kwa jasho.
Sasa why mie niteseke?