Wanawake tafuteni hela zenu ni raha sana

Wanawake tafuteni hela zenu ni raha sana

Umeongea kitu muhimu sana na cha kweli! Wanawake wengi wapo na watu ambao hawawapendi sababu ya umaskini tu. Ila mwanamke akijua kutafuta ana chance ya kuwa na mwanaume ampendae by 100% japo kuna wanawake malaya huharibu zaidi sababu hukosa uvumilivu wa kustahimili mwanaume mmoja unakuta hatulii anabadili mabwana maana ana jeuri.
Mapenzi hunoga zaidi Kama mumekutanishwa na ku have fun, na sio sababu za njaa au umaskini hapo inakuwa ni ku fake, so naamini no real love Kati ya mtu maskini na mwenye vitu. So kila mtu akiwa fight inakuwa Raha, omba omba hushusha thamani hasa za kihisia
 
Ndio maana nikasema kuna wanawake malaya, hawa akiwa na hela zake ni bure tu sababu wengi sio wastahimilivu 😂!

Yani kwakuwa ana hela, orders anazopewa na mume zinakuwa optional tu. Anaamua ipi afuate ipi asifuate. Ndio maana huishia kwenye migogoro na mwisho ndoa au uchumba huvunjika.

Unakuta kila siku ana bwana mpya bila hata haya, anawapishanisha kwake tu deile.

Kuna demu mmoja alikuwa Tenant mwenzangu yeye ni manager wa Lodge flani ya kitalii. Yule demu kipindi nilichoishi nae pale kwenye apartments amebadili vidume sio chini ya vi 4 na anaishi na watoto wakubwa tu mmoja wa form 2 mwengine std 6!

Ila hao wajomba waliozunguka na taulo chumbani kwa mama yao ni balaa.
Huyo Manager wa lodge ana wezere?
 
Tatizo jingine linalokuwa kwa kasi ni hili la wanawake wenye uwezo kiuchumi kuchukua hadi tabia za kiume.

Anaoa mwanaume fulani, akimchoka anapiga chini na kuchukua mwingine. Unaweza kuona hili kwa Shilole, tena hawana aibu kabisa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sio tunaiga ni vile zamani wanawake hawakuwa na hela ndo Mana wakiteseka kuvumilia shida, mwenye hela kwa nini avumilie shida, maisha yenyewe mafupi haya
 
Mapenzi hunoga zaidi Kama mumekutanishwa na ku have fun, na sio sababu za njaa au umaskini hapo inakuwa ni ku fake, so naamini no real love Kati ya mtu maskini na mwenye vitu. So kila mtu akiwa fight inakuwa Raha, omba omba hushusha thamani hasa za kihisia
MDANGAJI: My nimepata dharura naomba Laki 7 nitakurudishia.
MIMI:............?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sio tunaiga ni vile zamani wanawake hawakuwa na hela ndo Mana wakiteseka kuvumilia shida, mwenye hela kwa nini avumilie shida, maisha yenyewe mafupi haya
Mwanamke akitumika sana anachoka na kukongoroka sana. Siyo sawa na mwanaume.

Sioni kama hili ni suala la kushindana mwishowe wanaume lao ni moja. Watakutumia tu huku wakiambizana.

Wakati huo wewe ukijawa na stress huku heshima yako ikishuka.

Unaweza kuwa na uwezo mzuri kiuchumi lakini ukawa very stressful. Furaha unaitafuta kwa mbinde.
 
Haitokaa itokee mm nimuombe hela mwanaume coz vihela vya kwangu nilivyo navyo nakula nakunywa naridhika na hicho kidogo nilicho nacho.

LAKINI.................
Kazi no moja ya mwanaume ni kuhudumia mwanamke. Hii ipo wazi wanaume msibweteke na watakaochangia wakificha makucha

Mwanaume anaejitambua lazima atoe matumizi hata kama hujaombwa tofauti na hapo kila mtu abaki na chake.

N.b mdada pesa yako msaidie mwanaume ambae anakusaidia tu.

Mungu wabariki wadada ambao hawajapata kazi mwaka huu wote wapate kazi.
. Sisi Wanaume tumekubaliana tunaomba ujengewe SANAMU YAKO PALE DODOMA
 
Mwanamke akitumika sana anachoka na kukongoroka sana. Siyo sawa na mwanaume.

Sioni kama hili ni suala la kushindana mwishowe wanaume lao ni moja. Watakutumia tu huku wakiambizana.

Wakati huo wewe ukijawa na stress huku heshima yako ikishuka.

Unaweza kuwa na uwezo mzuri kiuchumi lakini ukawa very stressful. Furaha unaitafuta kwa mbinde.
Lile tendo ni starehe hamna kychoka Wala kuchakaa acheni wanawake tu enjoy Life na vitu tuvipendacho at the end of the day kuzeeka kuko pale pale hata Kama hutumiki
 
Lile tendo ni starehe hamna kychoka Wala kuchakaa acheni wanawake tu enjoy Life na vitu tuvipendacho at the end of the day kuzeeka kuko pale pale hata Kama hutumiki
Hata pombe ni starehe ila inategemeana. Mwili siyo Jiwe.

Na mwili wa mwanamke ukitumika saana inakuwa ni balaa.

Baada ya muda watu wanapita mbali.
 
Hata pombe ni starehe ila inategemeana. Mwili siyo Jiwe.

Na mwili wa mwanamke ukitumika saana inakuwa ni balaa.

Baada ya muda watu wanapita mbali.
Hayo ni maneno yaliyoazishwa na wanaume Ili kunyima wanawake wasile raha
 
Naaaam!, wanamwitA Miss Natafuta huyu ni dada yetu wa ukweeli, anapatikana hapa JF ila she is not for sale!. Anayo HELAA!!..
 
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela yaani siangalii hela ya mtu.nacheki tu hekima yake na akili zake
Mwanamke account yako ikisoma m 10 tu haki hata ndoto unazoota usiku zinabadilika.kuwa na hela raha jamani acheni.january tu unaamua umsaidie Nani au ukale bata wapi.

Kwanini utamani kupata mwanamme tajiri usiombe wewe kuwa tajiri??
Hakuna shortcut ya kupata hela.
Ushauri wangu wa mwisho kwa wanawake.usilale na mwanamme ili akupe hela.

Badala yake fanya kazi kwa bidii Sana uza hata ice cream au chapati kumi kwa siku
atatokea tu mwanaume mzuri atakuona kwenye biashara zako atakusaidia tena sio sio kwa sex. Sio lazima atokee mwanaume connection itatokea tu maana imeandikwa mguu unaotoka umefanyiwa dua na mtume ni mguu wa kupata ridhki.
Una akili sana wewe [emoji122]
 
Back
Top Bottom