Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Nilishawahi kujaribu, kila nikisoma nachoandika nikawa naona kiko below standard.

Angalau hata hivyo JF imenisaidia sana kwenye kuandika, maana ni moja ya platforms ambazo ukizitumia vizuri unaweza kujifunza kitu kwenye uandishi.
Siku nyingine ukiandika kabla haujakata tamaa naomba nikisome.
 
Back
Top Bottom