Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sina chura mkuu,, wewe subiri watakutaja wanawake wenye vyura.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Karma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wacha hizo bhana
 
Top 5 nyingine

1.Humble African
Kaka popote ulipo Rudi hapa jukwaaani,nakumiss Sana.

2.Hammaz huwa unapangilia maandishi yako vizuri

3.Waziri wa Kaskazini
Napenda jinsi unavyoshinda international forumn

4.NYEKUNDU YA BIBI
Hi I'd nikiiona tu nacheka.
Kuna Watu Kama wachekeshaji hivi

5.Kiranga
Huwa unanifanya niwaze maisha kwa namna chanya.
Nikiona maandishi yako..Ni mtu unayefikiri kwa namna chanya na SI hasi
An Optimist

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukurani.

You are far too kind.
 
Back
Top Bottom