Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Umetaja moja ya ids ninazozipenda yaani ukiacha wanayoyaandika humu ila usernames zao tu nazipenda zilivyokaa
Sesten Zakazaka zuri sana hili jina la huyu mzee mwenzangu yaani kuna kipindi alifanya hadi nikatamani na mimi nijiite Shadeeya Zakazaka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mana nililipenda tu hilo jina.

Karma
 
Asante Shadeeya na wala hujachelewa ujue[emoji2957]

Tena ngoja nikwambie mamii, huyu Zakazaka alikua ni beki kisiki wa kati wa timu ya Taifa ya Malawi akicheza kati sanjari kabisa na aliyewahi kua kocha wenu Wananchi na pia Prisons ya Mbeya Jack Lloyd Chamangwana. Penda jina lake na mpende mwenyewe wala usipepese[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
..
 
Huu ni uzi wenu mtiririke na kuserereka.
Mtaje top ten zenu kama sio five ya I'd za wanaume zenye majina matamu kwenu na yanayowavutia... For sure..

Nb nna imani ntakuwa wa kwanza.. 😎😎😎
Ungeanza kutaja wewe ili wenzako wafuatie
 
Mimi nasoma comment mpaka nipate sehemu imeandikwa kiduku lilo
IMG_20190921_190834.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom