Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah hiyo nyimbo huwa nacheka pale mwishoni wanavyopokezana kuimba huku wanabana pua eti

Unantaka kwiyo?
Una hela kwiyo?
Eti una dola kwiyo?
Nenda kalale kwiyo?
Kwiyo hiyo hiyo kwiyo?
Kwiyo hiyo kwema kwiyo?

Piga kelele kwa kwiyo akee weweee [emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3]
Piga kelele kwa Controla akeee weweeee (in Lavalava's+ Meja Kunta's voice)

Karma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah hiyo nyimbo huwa nacheka pale mwishoni wanavyopokezana kuimba huku wanabana pua eti

Unantaka kwiyo?
Una hela kwiyo?
Eti una dola kwiyo?
Nenda kalale kwiyo?
Kwiyo hiyo hiyo kwiyo?
Kwiyo hiyo kwema kwiyo?

Piga kelele kwa kwiyo akee weweee [emoji1787][emoji1787]

Karma
🤣🤣🤣🤣🤣 kucheka hiyo kwiyoooo
 
Top 5 yangu
1 jamaa fulani anajiita Upepo wa Pesa
Huyu Kaka I'd yake huwa inanivutia na anaendana na I'd Yake..Ni mtafutaji

2 Namuweka Lizarazu.
Huyu Kaka yangu sometimes namuona Kama comedian fulani ila huwa anaongea ukweli japo Ni mkali Sana.

3 reyzzap
Yaani nikiiona hii I'd imechangia sehemu huwa nacheka kwanza kabla sijasoma alichokiandika

4 Viatu vya samaki.
Licha ya ukorofi wake mwingi , huyu jamaa huwa anaandika fact Kwenye michango Yake mingi

5namuweka KENZY
Huyu naye huwa ananifanya nicheke sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom