Karibu sana.Hahahaha
Huyu ni Hammaz.
Uandishi wako unanikosha Sana ..una flow fulani hivi unique Sana.
Nitakuita boss siku zote
Aksahnte kwa kuipokea zawadi yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha, zinatosha ,nimejua unaemkubaliMtani naona umeweka nukta mbili. Lol [emoji28]
Hahahahaa. Lol.hahahaha, zinatosha ,nimejua unaemkubali
HahahahaHahahahaa. Lol.
Siku nyingine ukiandika kabla haujakata tamaa naomba nikisome.Nilishawahi kujaribu, kila nikisoma nachoandika nikawa naona kiko below standard.
Angalau hata hivyo JF imenisaidia sana kwenye kuandika, maana ni moja ya platforms ambazo ukizitumia vizuri unaweza kujifunza kitu kwenye uandishi.
Siku nyingine ukiandika kabla haujakata tamaa naomba nikisome.
daah yaani kitombise ,mkuyenge ,hawa watu nyie wadada hamjawataja
Ndio ID zako nyingine nini ??
Karma