Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

....Wanawake nitajeni Mimi , mumuache Mshanajr
Yaani wewe ndiyo huijui kabisa akili ya hawa watu. Yaani kwa kufanya hivyo, ndiyo unamfagilia mwenzio halafu wewe unajichimbia balaa.

Ukishakuwa na falsafa ya kuwaponda wanaume wenzako mbele ya wanawake ulio na mahusiano nao, hawa wanawake huwa wanakuwa na notion kwamba unaowaponda wako superior kwako, na hivyo kuwa na shauku ya kutaka kujua superioity hiyo waliyo nayo kwako.

Kumbuka kuwa unaohusiana nao lazima kwanza wawe wamekukubali wewe kuwa uko safi, na wangependa kuonekaana kuwa wana uhusiano na wewe. Hata hivyo wakishaona kuna mtu mwingine ambaye wewe unakaa unamponda, wanaanza kupata hisia kuwa huyo mtu yuko safi kuliko wewe, kwa hiyo yuko safi zaidi. Watakachofanya watahama kutoka pasafi, kwenda pasafi zaidi!

cc: Mshanajr
 
Back
Top Bottom