SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
nasubiri utaje!
We mbona mrembo tu, jina lako linafaa hata kupewa NumbisaPia wasitusahau na sisi wenye ID ngumu za kiume
Nlivyokuwa na wivu hata hapa ndio maana imenichukua muda kujibu maana nilitaka nipoe kwanza nisije kuharibu nikakukosa kabisa. π
SMART GHOSTnasubiri utaje!
kichwa bana, nimesema nasubiri utaje, sio unitaje.
πππππ hebu niacheNlivyokuwa na wivu hata hapa ndio maana imenichukua muda kujibu maana nilitaka nipoe kwanza nisije kuharibu nikakukosa kabisa. π
Haya bana, ngoja nikuset free, labda uta come back.πππππ hebu niache
Yaani wewe ndiyo huijui kabisa akili ya hawa watu. Yaani kwa kufanya hivyo, ndiyo unamfagilia mwenzio halafu wewe unajichimbia balaa.....Wanawake nitajeni Mimi , mumuache Mshanajr
Hapo kwako ni 'mtakuja'....nitazunguka kooote lakini 'kucome back' kwako muhimuHaya bana, ngoja nikuset free, labda uta come back.
Hii imekaa very very ironic ππHapo kwako ni 'mtakuja'....nitazunguka kooote lakini 'kucome back' kwako muhimu
Hii imekaa very very ironic ππ
Good dayπππ
Hapo kwako ni 'mtakuja'....nitazunguka kooote lakini 'kucome back' kwako muhimu