Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
oooh maama (in sharo milionea's voice)😍 😘
Sasa si ndio nimetaja inayovutia, halafu nakufananisha na binamu yangukichwa bana, nimesema nasubiri utaje, sio unitaje.
Ikifika muda wa kutaja I'd 10 za kiume zinazoandika vitu vya maana, na mifano ya kuigwa usiache kuniita.
Kwenye utani ndiyo kunafaa zaidi kupitishia vitu vya ukweli, wakati mwingine.Umeandika gazeti kama vile ni ishu siriaz wakati mwenyewe ameandika kwa utani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji106]ASANTE sana kumbe ID yangu inasound utamu
tumefanana nini?Sasa si ndio nimetaja inayovutia, halafu nakufananisha na binamu yangu
duniani wawili wawili.
Mie ninalo moja tu nalipenda kinyamaaaaaa,tatizo siwezi kumtaja
Naombea Khantwe asipite hapa manake anamjua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseee bora umentaja na nyota imesafishika.... af uishie hapo hapo namba 2 tunatosha...Hadi tumefikia post 60+ sidhani kama atakuja [emoji38]
Mgoja kwanza, labda siajelewa vizuri.