Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Wamama oyee...
Jamani kukumbushana mara moja moja sio mbaya kuna katabia kabovu kweli kweli wamama tumekuwa nako mdada umeolewa fresh na mumeo..umejikuta mumeo kila siku analeta mboga ya maharage nyumbani kwako..ya nini kumpigia makelele kisa analeta mboga hyo hyo
Hebu ifike jaman mahali wanawake tuache midomo.. .midomo yetu inawafanya waume wetu wawe mbali basi wajitenge watubague๐๐ wawe bize na la liga๐ jitahidi sana mwanamke mwenzangu kuziba mdomo Mumeo anakupa maharage kila siku chomoka nenda kwa jirani tafuna nyama ,vimshikaki.kabeji,dagaa,sweetpie futa mdomo wako na tishu rudi ndani kimya....! angalia sana.
umekula nyama kwa jirani ww unaturudia nyumbani na toosipiki ili iwaje kwa mfano! chokonoa nyama kwenye meno yako hakikisha umerudi nyumban kwako hunukii nyama..upo smart... unataka kumuonesha nani kuwa umekula mishikak yenye ajinamoto๐๐๐!jirekebishe mwanamke mwenzangu.. acha vichambo kwa mumeo.acha gubu bibi wee..!fanya maisha yawe mepesi๐๐๐!
...mjumbe hauawi..
#2020twende na MEMBE
#2020 tunatakaSerikaliYaUmojaWaKitaifa๐!
..nb!ntashangaa mwanaume ukitokwa povu hapa labda uwe unavuja๐๐๐!
cc
demi
MOTHER Confessor