Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
- #101
we unaendaga siku ngapi😁😁pole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaa nimeanza Member of Parliament...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unaendaga siku ngapi😁😁pole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaa nimeanza Member of Parliament...!
Me wa kwangu anapenda maharage kuliko hata nyama. .nikipika maharage na nyama anakula maharage.... Kwa hiyo wengine wanaleta tu maharage kwa sababu wanapendaWamama oyee...
Jamani kukumbushana mara moja moja sio mbaya kuna katabia kabovu kweli kweli wamama tumekuwa nako mdada umeolewa fresh na mumeo..umejikuta mumeo kila siku analeta mboga ya maharage nyumbani kwako..ya nini kumpigia makelele kisa analeta mboga hyo hyo
Hebu ifike jaman mahali wanawake tuache midomo.. .midomo yetu inawafanya waume wetu wawe mbali basi wajitenge watubague[emoji4][emoji4] wawe bize na la liga[emoji4] jitahidi sana mwanamke mwenzangu kuziba mdomo Mumeo anakupa maharage kila siku chomoka nenda kwa jirani tafuna nyama ,vimshikaki.kabeji,dagaa,sweetpie futa mdomo wako na tishu rudi ndani kimya....! angalia sana.
umekula nyama kwa jirani ww unaturudia nyumbani na toosipiki ili iwaje kwa mfano! chokonoa nyama kwenye meno yako hakikisha umerudi nyumban kwako hunukii nyama..upo smart... unataka kumuonesha nani kuwa umekula mishikak yenye ajinamoto[emoji57][emoji57][emoji57]!jirekebishe mwanamke mwenzangu.. acha vichambo kwa mumeo.acha gubu bibi wee..!fanya maisha yawe mepesi[emoji4][emoji4][emoji4]!
...mjumbe hauawi..
#2020twende na MEMBE
#2020 tunatakaSerikaliYaUmojaWaKitaifa[emoji14]!
..nb!ntashangaa mwanaume ukitokwa povu hapa labda uwe unavuja[emoji57][emoji57][emoji57]!
cc
demi
MOTHER Confessor
Me wa kwangu anapenda maharage kuliko hata nyama. .nikipika maharage na nyama anakula maharage.... Kwa hiyo wengine wanaleta tu maharage kwa sababu wanapenda
Hahahaaaa! Hawafugi maujinga kabisa.😂😂wale wameadvance... hawakawii... kitu pah!unaanza kula mali mwenyewe😁😁
Siku zipi hizoo??? Me nikianza kupump ni masaa sabaaa...we unaendaga siku ngapi[emoji16][emoji16]pole
Hahahahahaahahsafi kbs..huyo anafaa
harage ukiliunga fresh taamu unlitupia na vitangawizi na vithomu😊Hahahahahaahah
Ila ndo alete na nyama siyo maharage tu kila siku mwe
Bila kusahau katui ka nazi....yaan ndiyo maana yeye anapendaga kuliko hata nyama hahahahahahahaha...ila sijawahi mwelewa me nyama ndiyo mpango mzimaharage ukiliunga fresh taamu unlitupia na vitangawizi na vithomu[emoji4]