kamarah1320
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 295
- 300
duh wakina mama noma kumbe[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂🙂duh wakina mama noma kumbe[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Labda demi ataweza kunifunda gubegube mie.😂😂😂😂😂😂😂madame mwenzako nipo kutandani nacheka km mwehu nakera watu hapa 😂😂had nalia khaaa eti mende wa choon kwako
..hahahhaa tukaushane bandama😂😂😂😂😂😂😂😂!ndoa sio lelemama aisee...mie jana nimetoka kupita kipimo cha mwisho kbs cha ndoa😂😂😂😂😂!
demi alinisaidia nikavuka salama!aisee pole..rudi chaman kivingine!ila umejua kunichekesha 😂😂!
Labda demi ataweza kunifunda gubegube mie.
Ila kama ndoa ndio ziko hivi, acha nibaki kuwa mlupo.
Nilichoka uhawara, nikasema kajitokeza mtu, tena wa Jf ambae anajua mikiki yangu ya jukwaani huenda atanivumilia na kuona kama kawaida...kumbe ndo natoka kwenye afadhali...nakimbilia kwenye potelea mbali.
manengelo huwezi amini, mwili ninao mimi ila ratiba ya mwili wangu anaipanga mtu mwingine.
Napangiwa wa kuongea nao
Napangiwa mada za kuchangia
Napangiwa nguo za kuvaa
Napangiwa vyakula na vinywaji gani nitumie
Napangiwa jinsi ya kuongea
Napangiwa mpaka moyo wangu uwe na nani kirafiki...hapana.
Halafu mbaya zaidi nikaambiwa nijiunge na makanisa ya kiroho.
Mimi Mkatoliki safi...hayo ya akina Mwamposa nayawezea wapi?
Nimerudi zangu kwa hawara yangu.
Niko tuliiiii.....mpaka muda huu nachati bila wasiwasi
Elewa hayo maneno vizur maana yake nnWewe unakula kwa jirani...mumeo kashakula hotelini alafu watoto wakiumwa Mtapiamloo unatafuta mchawii??? Wanawake bhana kweli Mwalimu wenu mmoja...
We acha tu.
We acha tu.
Nikawa nakumbuka mwenyewe unavyompa kiki jukwaani.
Nikasema angejua watu tushashoneana sanda asubuhi tu...kajisemea Mau Kitenge...asubuhi tu...kila mtu kalalia kwake
Utapewa nyama wiki nzima, mwezi ujao zamu yako kutoa nyamaWamama oyee...
Jamani kukumbushana mara moja moja sio mbaya..
Kuna katabia kabovu kweli kweli wamama tumekuwa nako...
Mdada umeolewa fresh na mumeo..umejikuta mumeo kila siku analeta mboga ya maharage nyumbani kwako..ya nini kumpigia makelele kisa analeta mboga hyo hyo..
Hebu ifike jaman mahali wanawake tuache midomo.. .midomo yetu inawafanya waume wetu wawe mbali nasi..wajitenge..watubague😊😊 wawe bize na la liga😊
... jitahidi sana mwanamke mwenzangu kuziba mdomo..
Mumeo anakupa maharage kila siku chomoka nenda kwa jirani tafuna nyama ,vimshikaki.kabeji,dagaa,sweetpie futa mdomo wako na tishu rudi ndani kimya....! angalia sana..umekula nyama kwa jirani ww unaturudia nyumbani na toosipiki ili iwaje kwa mfano! chokonoa nyama kwenye meno yako hakikisha umerudi nyumban kwako hunukii nyama..upo smart... unataka kumuonesha nani kuwa umekula mishikak yenye ajinamoto😏😏😏!jirekebishe mwanamke mwenzangu.. acha vichambo kwa mumeo.acha gubu bibi wee..!fanya maisha yawe mepesi😊😊😊!
...mjumbe hauawi..
#2020twende na MEMBE
#2020 tunatakaSerikaliYaUmojaWaKitaifa😛!
..nb!ntashangaa mwanaume ukitokwa povu hapa labda uwe unavuja😏😏😏!
cc
demi
MOTHER Confessor
😂unanitoa kwenye reli..kwan ww utakuwa kila siku unadoea nyama kwa jiran?si unajiiba mara 1 mojaUtapewa nyama wiki nzima, mwezi ujao zamu yako kutoa nyama
😂😂😂😂Tukileta nyama mtasema mmemiss maharage/matembele mtaenda kudowea kwa jirani
Hahahhaha😂😂mimi nilianza mfatilia he is soo charming..mpole lakini mwenye ukomedi sana ndani yake...😂😂 ndo maana tunaambiwa hatuelewekagi tunatakaga nn😛
😂😂😂nan atishikeWrite your reply...dah nimekuja mbio nusu nijikwae nikajue mnaelekeza jinsi ya kutishika
huyu mwanamke ni hatari sana kwa afya ya wanaume wote wanoajielewaMnafundishana uharamia eeeh.
huyu mwanamke ni hatari sana kwa afya ya wanaume wote wanoajielewa
Hivi kuna kufundishana madhambi kabisa eeee
mimi nashauri ni bora umpigie kelele mumeo kuwa maharage sio mazuri kila siku achukie lakini sio kwenda kula kwa jirani vingine
tujaribu kufikiria na madhara ya kula kwa jirani pia
Nawakilisha tu ila siafiki na ujumbe wa mleta mada