jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
asantepole!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asantepole!
nina wasiwasi na bibie hornet kama kaelewaHahahaaaaa
Ila si bora kuongea kuliko kufumwa kwa jirani?
Kuna wanaume wamezoea wake zao vinanda, ukikaa kimya anaanza kukuchokonoa ilimradi tu akusikilize!!!
Hahaha tuliopata A za kiswahili ndio tutaelewa hapa...
"Dadavuzi"
Mimi na D yangu napata tabu sanaHahaha tuliopata A za kiswahili ndio tutaelewa hapa...
"Dadavuzi"
Aisee..Labda demi ataweza kunifunda gubegube mie.
Ila kama ndoa ndio ziko hivi, acha nibaki kuwa mlupo.
Nilichoka uhawara, nikasema kajitokeza mtu, tena wa Jf ambae anajua mikiki yangu ya jukwaani huenda atanivumilia na kuona kama kawaida...kumbe ndo natoka kwenye afadhali...nakimbilia kwenye potelea mbali.
manengelo huwezi amini, mwili ninao mimi ila ratiba ya mwili wangu anaipanga mtu mwingine.
Napangiwa wa kuongea nao
Napangiwa mada za kuchangia
Napangiwa nguo za kuvaa
Napangiwa vyakula na vinywaji gani nitumie
Napangiwa jinsi ya kuongea
Napangiwa mpaka moyo wangu uwe na nani kirafiki...hapana.
Halafu mbaya zaidi nikaambiwa nijiunge na makanisa ya kiroho.
Mimi Mkatoliki safi...hayo ya akina Mwamposa nayawezea wapi?
Nimerudi zangu kwa hawara yangu.
Niko tuliiiii.....mpaka muda huu nachati bila wasiwasi
Ha haaa shenzi kabisa weweLabda demi ataweza kunifunda gubegube mie.

HahahajajjHa haaa shenzi kabisa wewe
Hahahaaa!! Kwa ruhusa ya mshenga naomba nitekeleze vile nilivyoelewa😜😜.yaan ww ndo mjinga😂!umezoea kurudi kinyume nyume eh..hii sio kinyume nyume ww...tembea kifua mbere
Hahahaaa!! Kwa ruhusa ya mshenga naomba nitekeleze vile nilivyoelewa😜😜
Tena kama ni mama wa kichaga basi nalichukua kama lilivyo, hawakoseagi wale.tekeleza mama... maisha ndo haya haya..ila serious niliambiwa na mama wa kicjaga alikua serious ww!ingawa mm nilikua nacheka!nie nayatelekza mubashara😶
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pedi...We nae umefata nini hapa
Tena kama ni mama wa kichaga basi nalichukua kama lilivyo, hawakoseagi wale.
😂😂umeanza mp?pole... mie ningekupa pedi ila nimempa juzi tu jowzey[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pedi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaa nimeanza Member of Parliament...![emoji23][emoji23]umeanza mp?pole... mie ningekupa pedi ila nimempa juzi tu jowzey