kalimanzilajuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 323
- 314
Niliwahi kuandika humu kusiana na rafiki yangu mmoja ambaye ni mtendaji wa mlandege & mumewe alikuwa mwalimu wa Tagamenda sekondari. Kwa kweli rafiki yangu alikuwa anamnyanyasa sana mmewe na kila aliemshauri alimjengea chuki.
Rafiki yangu huyu hakutosheka kumuweka mumewe ndani tu mara kadhaa alidiriki hata kumnyima chakula. Huyu baba alivumilia yote hayo kwa kuwa wamezaa watoto wawili na wamefankiwa kujenga huku Kitwiru Iringa. Baba huyu ni mlokole na kwakweli hajui kubishana kabisa yaani unaweza ukahisi labda ana shida.
Sasa shosti ameenda mahakamani kaomba talaka na anataka nyumba iuzwe kila mtu apewe chake. Baba wa watu hataki nyumba iuzwe wapewe watoto lakini mwanamke hataki. Nyumba yao ni nzuri tu. Sasa shosti anashinda manispaa akiwashawishi wathamini WAISHUSHE nyumba gharama ili amkomoe aliekuwa mme wake.
Mahakama iliamuru mme apewe 40 %na mke 60. Sasa baba wa watu amekataa kuhama kwenye nyumba mpaka atakapojua hatma ya nyumba yao.
SASA SHOSTI YUKO ANASUKA MPANGO WA KUMBAMBIKIA KESI YA UBAKAJI KUPITIA KWA BINTI WA KAZI.
Kuna binti amemchukua kwa rafiki yake kwa kazi hiyo. Na kuna mwanaume anasuka mpango huo anaitwa Stivu.
Bahati mbaya likizo huyu baba ameenda kwao lakini akirudi huu ndo mkakati uliosukwa.
MUNGU TUSAIDIE NA UTUSAMEHE DHAMBI ZETU. MOYO WANGU UNA AMANI KWA KUUFICHUA UKWELI HUU.