Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

Nusratt ,mapenzi ni ubunifu,mkiwa wabunifu kwenye mapenzi basi mtaenjoy.

Shida ya watu waliowengi wanakosa ubunifu+ubinafsi when it comes to sex.
Ndio maana nawapa somo hapa.
Manaa hakuna cha manaa wanachofanya kunako 6 kwa 6.
Mapenzi ni ujanja na ubunifu.
 
Naomba picha yako ile kama unaonekana unapanda baskeli
Inakupa mzuka eee
VID_20250425_073942_793_1.gif
 
kwenye ceiling board tena?

ila kweli sehemu moja inachosha
 
Why not?! Waongelea ubunifu, wadau watabisha, mwisho wa siku wanalia lia michepuko imeingilia mapenzi yao!
Kuna wengine hawajawahi kupiga shoo jikoni, bafuni wala sebuleni!
Wewe wapashe, wakibisha shauri zao na ma style yao ya kuboreka!
 
Wanawake wenzangu mnachoshindwa kubadilisha style vitandani ni nini?
Mbona mimi na Mshangazi dot com huwa tunawabadilishia style vitandani waume zetu secretarybird, uzuri_hatujuani pamoja na Mbaga Jr?

Ngoja niwape siri enyi wanawake wenzangu.
Mwanaume anachoka na style moja.
Huwa tu hawana sehemu ya kusemea.

Mwanamke badili style kitandani, siku mojamoja ingieni chini ya uvungu au chini ya makaro ya vyombo fanyieni vitu vyenu humo.
Kila siku mnakutana kitandani na style ile ile moja, kama sio kifo cha mende basi mchaga anasoma gazeti.

Wanaume huwa wanaenda nje kutafuta wanawake wenye style tofauti.
Mbona kuna style kibao tu za kumpagawisha mume/bwana?

Na huko nje kuna wanawake wanajua kila aina ya style na usiombe wamkamate mumeo, utajuta.
Wanajua wapi pa kuingiza na wapi pa kuwapagawisha wanaume. Sasa wewe na ulokole wako kitandani na style yako moja tu kifo cha mende utalia na mito kitandani.

Siku mojamoja jaribu kudandia ceiling board mfanyie mapenzi huko darini na huyo baby wako.
Siku mkiona mko wapweke nendeni kwenye baraza la nyumbani kwenu zagamuaneni hapo au mkiona hakuna jam la watu nendeni hata ndani ya mabanda ya kuku au ya mbwa kafanyieni mapenzi huko.

Mapenzi ni ubunifu na mapenzi ni ajira.
Jiajiri ili uweze kufurahia show yako na baby wako.
Buni style mbali mbali za mizagamuo.
Style moja kila siku inachosha.

Style ziko nyingi sana


Kwa leo nimeishia hapa mpaka wakati mwingine.
Alamsiki.

Nusratt Mohammed 🥂
Nimecheka sana baada ya kukumbuka ile siku ambayo tulitoka kitandani Moja kwa Moja tukaenda kuzagamuana chooni utafikiri tumekuwa majini.

Ila guess what, tuli enjoy sana!
 
Back
Top Bottom