Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

Nusratt ,mapenzi ni ubunifu,mkiwa wabunifu kwenye mapenzi basi mtaenjoy.

Shida ya watu waliowengi wanakosa ubunifu+ubinafsi when it comes to sex.
Ndio maana nawapa somo hapa.
Manaa hakuna cha manaa wanachofanya kunako 6 kwa 6.
Mapenzi ni ujanja na ubunifu.
 
kwenye ceiling board tena?

ila kweli sehemu moja inachosha
 
Why not?! Waongelea ubunifu, wadau watabisha, mwisho wa siku wanalia lia michepuko imeingilia mapenzi yao!
Kuna wengine hawajawahi kupiga shoo jikoni, bafuni wala sebuleni!
Wewe wapashe, wakibisha shauri zao na ma style yao ya kuboreka!
 
Nimecheka sana baada ya kukumbuka ile siku ambayo tulitoka kitandani Moja kwa Moja tukaenda kuzagamuana chooni utafikiri tumekuwa majini.

Ila guess what, tuli enjoy sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…