Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

Kwenye mabanda ya kuku ,aaagh na mavi ya kuku haitanoga
 
Mai Nusratt kulikoni saa tisa usiku na uzi wa style za kitandani. Ulikua umetoka kuibinukia usingizi ukakata au?
 
Chadema hawakukosea.... NO REFORMS NO ELECTION
 
Hivi to be honest Mjukuu, Kwa umri uliofikia unaweza kukaa style ya kushika ceiling board wewe

Kumbukeni, ukishakuwa na umri wa Mshangazi ukivunjika mfupa wa nyonga Kwa kudondoka kwenye ceiling board mjue kabisa mkija Mhimbili hospital hatutaweza kuwaunga kutokana na mifupa yenu kuwa imeshakomaa 😜

Mbona hizo hizo style za missionary Babu zenu tulipewa na Bibi zenu hadi sasa tumezeeka nazo huku tukipata watoto wengi plus Wajukuu wa kutosha
 
Mwanamke badili style kitandani, siku mojamoja ingieni chini ya uvungu au chini ya makaro ya vyombo fanyieni vitu vyenu humo.
Are you normal maam ,mimi uniingize kwenye makaro sidhani hata kama itasimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…