Wanawake tujitahidi tuwape waume zetu mambo matamu kama tuliyokuwa tunawapa kabla hawajatuoa

Kwanza nikupongeze kwa kuongea ukweli wa hali ilivyo kwa karibu 98% ya wanandoa, au wawili wanaoishi pamoja kwa muda mrefu.
Juzi nilitembelewa na my ex-girlfriend, ambaye sasa yupo kwenye ndoa kwa karibu miaka miwili.
Ktk mazungumzo yetu, tulikumbuka mambo mengi ya love and sex tuliyokuwa tukifanya, nikasema jamaa atakuwa anafaidi sana! Akaniambia mambo sio kama unavyofikiri. Mwanzo ilianza hivyo, ila kwass, tunaweza kaa wiki moja hadi mbili bila kusex, na akasema hakuna kitu anachokionea uvivu kama kusex. Akanionyesha hadi msg wanazotumiana kwenye simu, haziko romantic tena.
Kitu pekee anachokimiss akiwa nje ya nyumba yake, ni mwanae. Mr wake akisafiri hujisikia huru!!
Kwa hiyo ushauri uliotolewa ni bora "ke" mkauzingatia, mzilinde ndoa zenu!!
 
Hata kitu alicho fanya #amber_rutty juzi hiki umekipokea kwa bashasha sana
 
Ila hiyo ni kawaida ni kama kitu chako kikiwa kipya unavokitreat ila ikikizoea ni tofauti.
Kila mtu ana wajibu wa kumboost mwezi wake
 
Ngoja nipige Dompo yangu, leo lazima tukumbushie mboga tulizounguza kipindi kile anakuja kunipikia.

Japo siku hizi ni shemasi, nitamwambia auweke ushemasi pembeni.
 
Nikija kuolewa na kupata watoto huyo mume ataona chamtema kuni namchanganya akili mpaka azirai nampa mambl motomoto halafu nampa kibuti cha whtsupp baba sweety naomba sitaki mazoea na wewe nimeolewa na ninapenda ndoa yangu nanina majukumu masuala yakuombana kama unaomba hela sitaki naomba ukome .
Chagua watoto au wewe halafu namtext tafuta ustaarabu wako.
kabisa.
Au tukifanya nilipe kama mchepuko.
 
Kisa cha kufanya hivo?
 
Namajukumu leba niende mie .
Kutunza kila.mtu huko ndani ni mimi napapuchi tena nimpe wewe chezea hapo.
Sasa unaenda kwake kufanya nini kwanini usibaki kwenu? Kama shida ni mtoto sperm donor wapo wa kutosha
 
Umeshakuwa kungwi sasa ngoja ni mlete wifi yako
Umpe darsa kwa vitendo
 
Majukumu ya familia . Wakati ule mnakula msosi wa mother mnaenda kwenye show,ukirudi home unakuta mother kaweka masantojo yote mezani,sasa ukishaolewa mnagegedana huku mnafikiria kesho mtakula nn
 
Kama asilimia 20% tu ya Wanawake walioolewa wangekuwa wanayajua na kuyatenda haya uliyoyaandika hapa mkuu Evelyn Salt basi ndoa nyingi sana zingekuwa katika amani, upendo, furaha na utulivu. Hakuna Mwanaume angehangaika na "michepuko" au "nyumba ndogo" kama angepata yote hayo kutoka kwa Mke wake.

Sisi Wanaume ni kama watoto wadogo, ukimnyima chakula nyumbani, basi ataenda kula kwa jirani au majalalani.
 
Kwa kautafiti kadogo ukiachana na changamoto nyinginezo ila "tendo la ndoa" ni moja kati ya vitu vinavyoleta migogoro sana ndani na inavoonekana wanawake ndo tunawahi kulichoka kuliko wanaume...tukumbushane!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…