Wanawake tujitahidi tuwape waume zetu mambo matamu kama tuliyokuwa tunawapa kabla hawajatuoa

Majukumu ya familia . Wakati ule mnakula msosi wa mother mnaenda kwenye show,ukirudi home unakuta mother kaweka masantojo yote mezani,sasa ukishaolewa mnagegedana huku mnafikiria kesho mtakula nn
Ni kweli majukumu nayo yanatuondoa mood ila kunjunjana ni muhimu pia nnavoona mie sex huwa inapunguza hizo stress nyingine
 
Umebarikiwa kuliko wanawake wrote hapa jamii forum,umekomaa unajitambua sana . usikate tamaa endelea kuwakumbusha hawa wenzio
 
Hivi unawaangaliaga vzuri wamama miili yao na yale matumbo ya uzazi? Wanakua wazito alafu ngono ya kila siku inachosha wanaume wanajiendekeza sana kutaka kulalana kila siku hawajui sisi sio kama wao ukitaka daily ujue kuna siku sitakua na mood kabisa kujituma kunatokana na hamu ya tendo.
Na nadhani hii ndo sababu kuna nyuzi za kunyimana unyumba humu kwa wanandoa sababu kubwa mke anajiona kama anatumika yaan kila siku umlale na bado akukatie mauno looh!! Wanachoka jamani.
 
Msichoke sana
 
Wanaume wepi wa kufanyiwa ,hawa wanaosema wanapenda wanawake weupi ,wakati wameoa wanawake weusi ,wanaume wepi wakufanyiwa haya, wakilala wanalala fofofo unampapasa anakwambia niache nilale kwanza ,wanaume wepi hawa hawa ukilala unajikuta analazimisha uume kuingia ,kwa lazima bila maandalizi unamwambia unaniumiza anajifanya hasikii ?Mungu atusaidie wanawake tulee watoto wetu wa kiume waje kuwa wababa ambao tungetamani waume zetu wawe hivo
 
Asante kwa somo zuri Evelyn, lakini nadhani katika maisha yangu sitasahau ajali ya MV Bukoba, maana naamini wanawake unaowataja wote walikufa kwenye ajali hiyo, wachache waliobaki ndo wameishia kwenye ajali ya Treni Dodoma na MV Nyerere juzi.
Unategemea mke akutii ,akupendee ,akupigie akufanyie kila wewe umekaa tu kila lakher
 
We miss mbeya wa wapi wewe labda huko igawa au ileje huu mwandiko sio wa mbeya
 
Hili ndio linachangia sana M/me kutoka NJE ......Unaomba Omba kwa kumlazimisha utafikiri K anayo yeye Dunia nzima.
 
Hili ndio linachangia sana M/me kutoka NJE ......Unaomba Omba kwa kumlazimisha utafikiri K anayo yeye Dunia nzima.

Eti bana yaani umeoa na bado unanyimwa halafu kuna binti kakuelewa anakwambia we tafuta muda tu teh teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…