Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

We umejuaje mkuu..??
unashindwa kutofautisha Mada za wanaume na wanawake na kujua hii Mada imeletwa na mwanamke fake (yaani dume)
mfano mmoja tu eti anaogopa mimba
hivi kuna Binti wa miaka 15 hajui mimba inaingiaje, tarehe, kutoa, nyota ya kijani Kipepeo nk
Mwanamke yoyote haogopi Mimba anaogopa UKIMWI, CORONA, GONO, KUFUMANIWA nk
angalia mfano mwanamke mumewe kafungwa 30yrs atamsubiri kweli
sasa ngoja msamahe utolewe tayari anakutwa na mtoto au wawili na bado anaishi kwenye nyumba ya mumewe
sanasana labda amekoma kuruka mwezini mfano 40yrs utamkuta salama maana moto umezima
 
Inawezekana ila akiwa mbali nami ,pengine huwa anachepuka siwezi jua.
laa mda mwingi tunakuwa live.tunapiga story.na kupeana mahaba ya mbali .kila mmoja akiridhika na kupiga bao zake kwa mbali mbali,tunalala[emoji23]
Jibu lako nimelipenda Sana ..maana usiusemee moyo wa Mtu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa una akili nyingi sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa taarifa yako wanawake tunaogopa mimba zaidi kuliko hayo magonjwa uliyosema.

Yaani tukipitiloza bleed siku moja roho juu juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako wanawake tunaogopa mimba zaidi kuliko hayo magonjwa uliyosema.
Yaani tukipitiloza bleed siku moja roho juu juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kunywa kidonge tu unaFlash mimba ya wiki baada ya kukosa kuona
Gonoccocus la umbwa siku moja linaonekana unadungwa Gentermicine injection kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…