Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
unashindwa kutofautisha Mada za wanaume na wanawake na kujua hii Mada imeletwa na mwanamke fake (yaani dume)We umejuaje mkuu..??
mfano mmoja tu eti anaogopa mimba
hivi kuna Binti wa miaka 15 hajui mimba inaingiaje, tarehe, kutoa, nyota ya kijani Kipepeo nk
Mwanamke yoyote haogopi Mimba anaogopa UKIMWI, CORONA, GONO, KUFUMANIWA nk
angalia mfano mwanamke mumewe kafungwa 30yrs atamsubiri kweli
sasa ngoja msamahe utolewe tayari anakutwa na mtoto au wawili na bado anaishi kwenye nyumba ya mumewe
sanasana labda amekoma kuruka mwezini mfano 40yrs utamkuta salama maana moto umezima