Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

WAZINZI [emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ila akiwa mbali nami ,pengine huwa anachepuka siwezi jua.
laa mda mwingi tunakuwa live.tunapiga story.na kupeana mahaba ya mbali .kila mmoja akiridhika na kupiga bao zake kwa mbali mbali,tunalala😂
akishapiga kimoja mwenzako alali cha pili sasa anaenda kusimamia ukucha kwa mchepuko
inabidi uhakikishe mnapiga raundi tatu tatu yaani kama ni simu ameshikilia mkiwa mnachat mpaka andondoke nayo ipasuke
au apige uso kwenye kioo cha laptop ndo unaweza kujua hapa kidogo tayari
wanaume sisi kichwa cha chini hakitulizwi kimasihara kama ulivyoelezea apo juu
mwingine yupo tayari atoke ata sa8 za usiku kutafuta huduma mpaka kichwa cha chni kipoe hihiii
 
Chaputa hoyeeeeee [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahakikishaga namchosha vya kutosha ndo tunaagana.
Hata akichekupa shauri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…