Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

Akiwa mbali hujawahi kuwazia kuchepuka kidogo?
 
nilivyoona title ya uzi nilihisi wanaume hawahusiki...leo nimeona ni nyingi nikasema ni kweli jinsia ya walioitwa tu ndo wapo humu...kucheki hahahahaaa comments za mwanzo zote za mabaharia hahaaaaaaaaaaaaa
 
Mbona sijaona cha kuwapigisha nnyeto
Mada yako ilikua nzuri dadangu,imevurugwa,hata wanaume ingetusaidia.wengi hawajajibu/changia ipasavyo.
Hi ni mada ya kiutu uzima na maalum kwa wanandoa.

Mchango wangu
Mwanamke anaweza kujisugua usually kisimi wakati akipewa maneno matamu na mme au mpenzi wake.
Lakini kwa mwanaume Ni ngumu Sana kujichua.kitu kikubwa atakachifanya Ni kwenda nje kutafuta Malaya wa kulala nae Kama Yuko mbali safarini.Wewe hujui hili.
Kuwa mwangalifu Dada yangu,unaweza ukamfanya mume wako akawa bonge la mzinzi kwa mtindo huo.
Haiwezekani kila akiwa safarini apige punyeto.punyeto Mara nyingine hua wanafanya vijana wasiooa,mtu akishaoa punyeto huwa Ni kero na chukizo.
Mwanaume aliyeoa akiwa mbali Ni mke na akiwa na nyege hutafuta malaya.wapo wengi wanaojiuza kwa starehe za mda mfupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahusiano ya hivi ni magumu sana, inahitaji moyo wa chuma kuwa faithful katika mahusiano/ndoa za namna hiyo.
 
Back
Top Bottom